Mi hata sijaelewa mnachezajeeee
We nawe hebu soma maelekezo vizurii...yani hapa mwanamke anatoa 1 katika namba ya mwisho anayoikuta na mwanaume anajumlisha moja....wanawake tukitoa hadi ikifika 00 tumeshinda...
Mi hesabu nilipata F narudi umbeani huko nina A
We jishaue tu na tukishinda nisikuone unashobokea pilau letu...
Shogaaa juzi kati hapa tena kulikua na harusi ya shoga yangu mpenziii, mume mtarajiwa hajaumwa ghafla,ndoa tumeahirisha mpaka leo,sijui wachawii sijui mkono wa Mungu tu😕😕😕😕
Mhhh...au bwana harusi kapanick? ....ila uchawi upo...
88.....
Yaan ni shida tunasubiri apate nafuu ifungwer sijui wameahirishaaaaaaaaaaaa
87......
Mbona we unarudia kuandika namba mara nyingii
We shombe shombe una kichwa kizito...hebu soma maelekezo huko.....unajua kuhesabu pesa za visima vya mafuta tuuu....
Mi huko sijasoma bana sasa mtashinda lini sasaa
Uvivu tu...hapa hadi tufike 00 ndo tunashinda...naona we umegoma kusaidia ushindi...
mimi naona kizunguzungu tuu hapoAkili za usiku hizo...kanawe uso kwanza kushakuchaa...