Mchezo wa maziwa makuu Magufuli anaujua?

Eddy naona huwajui Wanyarwanda! Pole sana,usicheke na Nyani wakati umeivisha mahindi!
Eddy labda anatoka Songea au Mtwara. Kwa mtu wa kanda ya ziaa au magharibi hawezi kusema hivyo. Wanyarwa na Warundi ni wa kuogopa sana
 
Kwa mfumo wa kijeshi base iliyoko Mwanza inafit kabisa kinachotakiwa ni kuiongezea uwezo. Inaweza Ku cover mipaka yote kuanzia Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi hata mpaka wa DRC.
Kwa hiyo rationale ya uwanja Chato inatoka wapi?
 
Kwa mfumo wa kijeshi base iliyoko Mwanza inafit kabisa kinachotakiwa ni kuiongezea uwezo. Inaweza Ku cover mipaka yote kuanzia Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi hata mpaka wa DRC.

Watu wanacho sahau ni kwamba Dk.Magufuli ni mzaliwa wa Ukanda huo - msifikiri hajui historia na hulka za majirani zetu, cha muhimu ni kula nao ukitumia kijiko chenye mkono mrefu - above all tusijisahau sana.

Mimi nashuri Military detatchment zirudishwe kwenye Mkoa wa Kagera - zirudishwe kama zilivyo kuwa wakati wa utawala wa awamu ya kwanza, vile vile wajumbe wa nyumba kumi warudishiwe madaraka huko Karagwe na Ngara kama ilivyo kuwa zamani, tukiwachia Wanyarwanda na Warundi wakaingia nchini kiujanja ujanja masuala ya Wanyamlenge yatahamia Mkoani Kagera - Wahaya usema: "O'KWEKENGELA TI BUTINI" na kweli, mdharau mwiba guu uota matende.

Juzi juzi nilishangaa nilipo soma taarifa kwamba M7 anataka kununua ndege za vita aina ya Sukhoi-35 kutoka Urusi - Uganda inahitaji such sophisticated fighters kwa lengo gani? kulinda visima vya mafuta au anataka kupigana na nchi kama Marekani?

Sina maana kwamba M7 ana mpango wa kutuvamia, ila kwa kanda ya Africa Mashariki ndege hizo zitaleta wasi wasi na kuanzisha mashindano ya kuhodhi silaha kali.
 
Ukiacha Kenya, Uganda ,Rwanda na DRC ni nchi ambazo zimekua zikichezeana michezo mibaya sana hadi kufikia kupigana vita kabisa, wanao fuatilia mambo haya wanajua.

M23 imepotea kwa msaada was majeshi toka tz pamoja na kuwa m23 inasemekana inauhusiano na Rwanda,

miaka michache tz na Rwanda tumekua maadui, Leo tumekua marafiki, wiki hii kabila amekutana na kagame pamoja na mseven.

haka kamchezo hakahitaji hasira, mgeni ni magufuli, sijajua atapewa namba gani acheze bila kupewa kadi ya njano kama siyo nyekundu.

View attachment 380758
Ivi kwa uropokaji huu ataweza namba yoyote kweli??
 
Mwanza Chato ni Neutical Miles 68 tu, sawa na 127km flight.[/QUOTE

Kwa umbali huo ni wastani wa masaa mawili kwa gari kwa mwendo wa 65km/hour kutoka Mwanza kwenda Chato kulikuwa hakuna sababu ya kujenga uwanja wa ndege wa Chato badala fedha yake ingetumikakuimarisha uwanja wa ndege wa Mwanza kwani ule uwanja haufanani na hadhi ya jiji la pili kwa ukubwa Tanzania
 
wacha kuchanganya madesa mkuu, umeuliza umbali kwa ndege, nimekupatia neutical miles, kwa barabara ni km 180. Beside hizi habari za uwanja wa chato ni uongo au ni mitego ya watu wa usalama ili gazeti litakaloandika lipigwe pin
 
Watu wanacho sahau ni kwamba Dk.Magufuli ni mzaliwa wa Ukanda huo - msifikiri hajui historia na hulka za majirani zetu, cha muhimu ni kula nao ukitumia kijiko chenye mkono mrefu - above all tusijisahau sana.

Mimi nashuri Military detatchment zirudishwe kwenye Mkoa wa Kagera - zirudishwe kama zilivyo kuwa wakati wa utawala wa awamu ya kwanza, vile vile wajumbe wa nyumba kumi warudishiwe madaraka huko Karagwe na Ngara kama ilivyo kuwa zamani, tukiwachia Wanyarwanda na,Warundi wakaingia nchini kiujanja janja masuala ya wanyamlenge yatahamia Mkoani Kagera - Wahaya usema: "O'KWEKENGELA TI BUTINI" na kweli, mdharau mwiba guu uota matende.

Juzi juzi nilishangaa nilipo soma taarifa kwamba M7 anataka kununua ndege za vita aina ya Sukhoi-35 kutoka Urusi - Uganda inahitaji such sophisticated fighter kwa lengo gani? kulinda visima vya mafuta au anataka kupigana na nchi kama Marekani?

Sina maana kwamba M7 ana mpango wa kutuvamia, ila kwa kanda ya Africa Mashariki ndege hizo zitaleta wasi wasi na kuanzisha mashindano ya kuhodhi silaha kali.
Huo mfumo wa balozi wa nyumba kumi ni kiboko, tena kwa nchi nzima.
 
Lengo lake ni lipi hasa?

Kuwadhibiti wahutu walio kimbilia uhamishoni pamoja na Watutsi wasio kubaliana na utawala wake - PK ana wasi wasi sana na kundi hilo maana hajui long term plan zao ni zipi - lakini akilini mwake anajua hata ipite miaka mingapi watarudi Rwanda kutoka uhamishoni eventually.

Swali ni: wataingia/rudi Rwanda kwa style hipi hiyo ndiyo inawasumbua kichwa cha Serikali ya PK - labda akubali wamalize tofauti zao kistaarabu i.e baina ya Serikali yake na wao.
 
Kuwadhibiti wahutu walio kimbilia uhamishoni na Watutsi wasio kubaliana na utawala wake - ana wasi wasi sana na kundi hilo maana hajui long term plan zao ni zipi - lakini akilini mwake anajua hata ipite miaka mingapi watarudi kutoka uhamishoni eventually - wataingia kwa style hipi hiyo ndiyo inawasumbua kichwa cha Serikali ya PK - labda akubali wamalize tofauti kistaarabu baina ya Serikali yake na wao.
Kumbe mambo si shwari huko.
 
Kuwadhibiti wahutu walio kimbilia uhamishoni pamoja na Watutsi wasio kubaliana na utawala wake - PK ana wasi wasi sana na kundi hilo maana hajui long term plan zao ni zipi - lakini akilini mwake anajua hata ipite miaka mingapi watarudi Rwanda kutoka uhamishoni eventually.

Swali ni: wataingia/rudi Rwanda kwa style hipi hiyo ndiyo inawasumbua kichwa cha Serikali ya PK - labda akubali wamalize tofauti zao kistaarabu i.e baina ya Serikali yake na wao.
Kumbe kuna watutsi hawakubaliani na utawala wa kagame mi nilijua wote ni timu moja
 
Kwahiyo inamaana kwamba wahutu na baadhi ya watutsi waliopo nje wanaplan kwenda kukianzisha tena ili kumtoa kagame
 
Kwahiyo inamaana kwamba wahutu na baadhi ya watutsi waliopo nje wanaplan kwenda kukianzisha tena ili kumtoa kagame

Mkuu masuala ya Rwanda si rahisi kutabirika - anaye iweza ni Kagame lakini pindi akiondoka madarakani uwezi kujua kitatokea kitu gani - wana tofauti zao ambazo ni so deep seated itawachukua karne ku-reconcile kikweli kweli.
 
Mchezo huu hauhitaji hasira ni busara na intelligence tu. Kuna hatari ya Kagame kuisambaratisha Tanzania kiuchumi na kiardhi. Hajafurahi M23 kusambaratika chini ya Jakaya.
 
Back
Top Bottom