ila draft mnalocheza dar silielewi kabisa kanda ya ziwa tunacheza French ni balaaaDraft ni mchezo wa akili tu. Kuna formula (copy)nyingi tu. "Mguu wa jini, kilosa, five ball, kingi fala, na mingine. Mtu akikuwekea copy ya fiveball tayari yeye ana sare wewe utafute. Mguu wa jini ukiuingia hutoki. Kilosa huu mimi ndio naukubali, ni full msuli. Ukiuangalia unaona kila mtu ana nafasi ya kushinda. Ila mara nyingi aliyeanxa kucheza anashinda.
Hawa ndio mabingwa wa Tanzania.
1. Mangwelele. Huyu anapatikana buguruni.
2. Juma mchafu huyu hana kijiwe maalumu. Yeye kacheza draft dsm nzima kila kijiwe.
3. Ronaldo huyu yupo sinza nadhani palestina. Ni sheeder.
4. Godziller huyu maskani yake ifakara. Ila yeye anatembea mikoani. Hii ni kazi yake na inamwingizia kipato.
Note
Ili ijue draft ukubali mambo mawili.
1. Uwe mchafu kwa maana unashinda vijiwe vya draft huna muda wa kufua na kuoga.
2. Ukonde. Maana huna muda wa kula. Muda wooote unagonga kete tu.
Ref. Juma mchafu niliyemtaja hapo juu, jina lake ni juma. mchafu ni nick name yake. Na ni kweli ni mchafu. Hafui wala haogi.
Dah kweli hao watu uliwao wataja sio mchezo nilijua mi ni mkali lakini alichonifanyia mangwerere Mungu mwenyewe jamaa hafai ata bureDraft ni mchezo wa akili tu. Kuna formula (copy)nyingi tu. "Mguu wa jini, kilosa, five ball, kingi fala, na mingine. Mtu akikuwekea copy ya fiveball tayari yeye ana sare wewe utafute. Mguu wa jini ukiuingia hutoki. Kilosa huu mimi ndio naukubali, ni full msuli. Ukiuangalia unaona kila mtu ana nafasi ya kushinda. Ila mara nyingi aliyeanxa kucheza anashinda.
Hawa ndio mabingwa wa Tanzania.
1. Mangwelele. Huyu anapatikana buguruni.
2. Juma mchafu huyu hana kijiwe maalumu. Yeye kacheza draft dsm nzima kila kijiwe.
3. Ronaldo huyu yupo sinza nadhani palestina. Ni sheeder.
4. Godziller huyu maskani yake ifakara. Ila yeye anatembea mikoani. Hii ni kazi yake na inamwingizia kipato.
Note
Ili ijue draft ukubali mambo mawili.
1. Uwe mchafu kwa maana unashinda vijiwe vya draft huna muda wa kufua na kuoga.
2. Ukonde. Maana huna muda wa kula. Muda wooote unagonga kete tu.
Ref. Juma mchafu niliyemtaja hapo juu, jina lake ni juma. mchafu ni nick name yake. Na ni kweli ni mchafu. Hafui wala haogi.
Wewe kweli mchezaji, kama unamjua mangwelele huyu ndio bingwa wa draft tanzania nzimaDraft ni mchezo wa akili tu. Kuna formula (copy)nyingi tu. "Mguu wa jini, kilosa, five ball, kingi fala, na mingine. Mtu akikuwekea copy ya fiveball tayari yeye ana sare wewe utafute. Mguu wa jini ukiuingia hutoki. Kilosa huu mimi ndio naukubali, ni full msuli. Ukiuangalia unaona kila mtu ana nafasi ya kushinda. Ila mara nyingi aliyeanxa kucheza anashinda.
Hawa ndio mabingwa wa Tanzania.
1. Mangwelele. Huyu anapatikana buguruni.
2. Juma mchafu huyu hana kijiwe maalumu. Yeye kacheza draft dsm nzima kila kijiwe.
3. Ronaldo huyu yupo sinza nadhani palestina. Ni sheeder.
4. Godziller huyu maskani yake ifakara. Ila yeye anatembea mikoani. Hii ni kazi yake na inamwingizia kipato.
Note
Ili ijue draft ukubali mambo mawili.
1. Uwe mchafu kwa maana unashinda vijiwe vya draft huna muda wa kufua na kuoga.
2. Ukonde. Maana huna muda wa kula. Muda wooote unagonga kete tu.
Ref. Juma mchafu niliyemtaja hapo juu, jina lake ni juma. mchafu ni nick name yake. Na ni kweli ni mchafu. Hafui wala haogi.
Hakuna mtu anayemuweza mangwelele tanzania hii kwa draftDah kweli hao watu uliwao wataja sio mchezo nilijua mi ni mkali lakini alichonifanyia mangwerere Mungu mwenyewe jamaa hafai ata bure
tatizo nyny wa dar mnatumka British draft.. sisi labda ya ziwa twala kotekoteWewe kweli mchezaji, kama unamjua mangwelele huyu ndio bingwa wa draft tanzania nzima
Huyu mchafu namjua sio bingwa sana ila maarufu sn hakuna kijiwe wasichomjua watu wa draft wengi wanamjua ila hamuwezi bingwa wetu dogo mmoja anaitwa husein huyo ni noma anapatikana tabata
Kuna bingwa mwengine anapatikana keko sina nimemsahau, ila kijiwe cha mabingwa wengi ni buguruni
Unaniweza french wewe? Nina game la draft nacheza kwenye simu nimemaliza lavel zote nashinda tu ungekuwa karibu ningekufunga hadi ushangaetatizo nyny wa dar mnatumka British draft.. sisi labda ya ziwa twala kotekote
Mkuu ungenisaidia, nitakushukuru sana nipatie linaitwaje ingiwezekana npe link. Maana kwenye play store sijawahi pata challengeUnaniweza french wewe? Nina game la draft nacheza kwenye simu nimemaliza lavel zote nashinda tu ungekuwa karibu ningekufunga hadi ushangae
Andika checkers yapo mengi tu, chagua utakalolipendaMkuu ungenisaidia, nitakushukuru sana nipatie linaitwaje ingiwezekana npe link. Maana kwenye play store sijawahi pata challenge
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Plz mchafu ni habari nyingine. Huyu jamaa yupo level moja na mangwelele. Hawa wakikutana hakuna mshindi. Kwa sasa hawa jamaa washaacha kucheza michezo ya kawaida. Unajua vipande wewe?Wewe kweli mchezaji, kama unamjua mangwelele huyu ndio bingwa wa draft tanzania nzima
Huyu mchafu namjua sio bingwa sana ila maarufu sn hakuna kijiwe wasichomjua watu wa draft wengi wanamjua ila hamuwezi bingwa wetu dogo mmoja anaitwa husein huyo ni noma anapatikana tabata
Kuna bingwa mwengine anapatikana keko sina nimemsahau, ila kijiwe cha mabingwa wengi ni buguruni
Nakwambia juma mchafu namjua ni kweli anajua sana draft ila mangwelele habari nyenginePlz mchafu ni habari nyingine. Huyu jamaa yupo level moja na mangwelele. Hawa wakikutana hakuna mshindi. Kwa sasa hawa jamaa washaacha kucheza michezo ya kawaida. Unajua vipande wewe?
Kuna kitu wanaita vipande. Wanakupangia kete, kwa mfano, nyekundu zinakuwa 6, blue zinakuwa 2 unaambiwa chagua 6 (nyekundu) utoe sare au uchague 2 (blue) ushinde. Baba! Ukichagua zozote umepigwa.
Afu kuna kitu sijaelewa. Ingawa ni nje ya mada kidogo. Kuna jamaa m1 hivi yeye yupo yombo. Pale lumo, huyu jamaa huwa anakuwaga kichaa wakati mwingine. Ila draft analijua. Sasa siku kichaa kikimpanda unamwona kabisa hayupo sawa. Anaokota makopo kabisa na kuongea mambo yasiyoeleweka. Lakini anakuja kijiweni na anaomba kucheza game. Mwanangu, anasukuma kete kama kawa. Na anawapiga watu kama kawa. Huwa sielewagi kabisa
Buguruni sehem gani nikajifue kidogo na mabingwa maana uku kigamboni nimeshakimbiza wengi mpaka sina wa kucheza nae kwa kuwa wananiogopaWewe kweli mchezaji, kama unamjua mangwelele huyu ndio bingwa wa draft tanzania nzima
Huyu mchafu namjua sio bingwa sana ila maarufu sn hakuna kijiwe wasichomjua watu wa draft wengi wanamjua ila hamuwezi bingwa wetu dogo mmoja anaitwa husein huyo ni noma anapatikana tabata
Kuna bingwa mwengine anapatikana keko sina nimemsahau, ila kijiwe cha mabingwa wengi ni buguruni
Nikikuta watu wabacheza draft la kula mbele na nyuma hata kuangaliia sitaki,naona limekaa kishoga saidtatizo nyny wa dar mnatumka British draft.. sisi labda ya ziwa twala kotekote
Hilo ndio draft LA kiume na linafikirisha kwelikweliNikikuta watu wabacheza draft la kula mbele na nyuma hata kuangaliia sitaki,naona limekaa kishoga said
Mimi limenipitia pembeni mkuuHilo ndio draft LA kiume na linafikirisha kwelikweli
Hakikisha hupotezi kete yoyote bure...yaani kama kula Kate angalau kwa kila kete upate faida..japo sio kila kete utakayokula italeta faida..wakati mwingine ni kuujenga mashambulizi..ili kushinda lazima uwe na kete nyingi kumshinda mpinzani