gervas charles
New Member
- Dec 13, 2017
- 2
- 0
Kete tatu haisaidiii weweNjia rahisi ya kushinda huu mchezo unaenda mbele na kete tatu tatu. Lakini hivi juzi nilikutana na jamaa alikua na mchezo wake unaitwa ebola. Alinipiga nne firster mpaka nimejiuliza. Ni mchezo mzuri
Juma mchafu amefariki aisee...Draft ni mchezo wa akili tu. Kuna formula (copy)nyingi tu. "Mguu wa jini, kilosa, five ball, kingi fala, na mingine. Mtu akikuwekea copy ya fiveball tayari yeye ana sare wewe utafute. Mguu wa jini ukiuingia hutoki. Kilosa huu mimi ndio naukubali, ni full msuli. Ukiuangalia unaona kila mtu ana nafasi ya kushinda. Ila mara nyingi aliyeanxa kucheza anashinda.
Hawa ndio mabingwa wa Tanzania.
1. Mangwelele. Huyu anapatikana buguruni.
2. Juma mchafu huyu hana kijiwe maalumu. Yeye kacheza draft dsm nzima kila kijiwe.
3. Ronaldo huyu yupo sinza nadhani palestina. Ni sheeder.
4. Godziller huyu maskani yake ifakara. Ila yeye anatembea mikoani. Hii ni kazi yake na inamwingizia kipato.
Note
Ili ijue draft ukubali mambo mawili.
1. Uwe mchafu kwa maana unashinda vijiwe vya draft huna muda wa kufua na kuoga.
2. Ukonde. Maana huna muda wa kula. Muda wooote unagonga kete tu.
Ref. Juma mchafu niliyemtaja hapo juu, jina lake ni juma. mchafu ni nick name yake. Na ni kweli ni mchafu. Hafui wala haogi.
kesha isha huyo.saiv kuna wakna kata mwizi luambano.dogo janja.nduli..ronaldo.fyatuka mahisabatiKuna mwamba mmoja anaitwa Mangwelele, hafungwi Tanzania nzima
Mkuu, hao wote naheshimu uwezo wao ila Mangwes ni habari nyinginekesha isha huyo.saiv kuna wakna kata mwizi luambano.dogo janja.nduli..ronaldo.fyatuka mahisabati
Kweli bwana mchafu amefariki R.I.PJuma mchafu amefariki aisee...
R.I.P.
Ni mchezo mzuri sanaNjia rahisi ya kushinda huu mchezo unaenda mbele na kete tatu tatu. Lakini hivi juzi nilikutana na jamaa alikua na mchezo wake unaitwa ebola. Alinipiga nne firster mpaka nimejiuliza. Ni mchezo mzuri
Binafsi yote nacheza...lile la two way linaitwa French kwa kuwa limeibuliwa Ufaransa.Nchi nyingi wanacheza draft la kwenda mbele na nyuma, lakini kwa Tanzania yapo ya aina mbili, kuna hilo la mbele na nyuma na kuna la mbele tu
We ni mtaalamu wa lipi?
Habari zenu wana jf wote
Hv unapokuwa unacheza mchezo wa draft inafaa kuzingatia vitu gani ili uweze kuziteka vizuri kete za mwenzako
Natamani niiangalie hii game.set the date...
Hahahah ukipigwa supa lazima mwili mzima ulowane majasho maana unajikuta bonge la looser mbele ya washkaji.sitaki hata kukumbuka aisee!Aisee kitambo nimewapiga sana watu supa..