mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,787
Mchezo wa kiume huo
Nyie mnao jiita wacheza draft ebu njooni hapa dodoma naeneo ya soko kuu majengo/chabela camp mkutane na wauaji. Hapa ukikutana na mtu kama kwata mwivi lwambano, nduli dulima, mnyama Ronardo, Hemed gaidi n.k, sare ndo ushindi wako.
