Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 3,088
- 4,492
🤣🤣🤣Ila Tanzania tulikuwa na propaganda Mara tunaongoza kwa Vita ya chini Duniani!?
Mara sisi Ni wa pili Duniani kwa intelligensia. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Enzi za Mwl it was funny.