Mchezo huu ni wakumsifia mwanamke

Mchezo huu ni wakumsifia mwanamke

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,391
Reaction score
1,960
wakuu kuna mchezo ambao upo kule jokes wa wamwisho ndo mshindi ningependa nitumie wazo lile kuanzisha huu mchezo utakao kuwa na nia ya kusifia na kujua uzuri na thamani ya mwanamke basi sasa napenda kuanza namna hii
n.B neno la mwisho ndo la kwanza kwa comment itayofata


mwanamke ni pambo la dunia

dunia bila mwanamke isingependeza

isingependeza maana wanawake wanavutia sana


sana kiasi kwamba lazima tuwatongeze


tiririkeni
 
Tuwatongoze watupe wakipata mimba wazitoe na kutupa chooni
 
mbona naona wengine kama wanapondea vile wakati mtoa maada kasema ni mchezo wa kuwasifia wanawake?
 
mbona naona wengine kama wanapondea vile wakati mtoa maada kasema ni mchezo wa kuwasifia wanawake?

wanawake?ndio ni wanawake huwa kama maua yaliyochanua kwenye bustani ya penz la kweli....Fateni mtiririko....Huwa wapole na wavumilivu
 
Redundancy Thread......Mod Please Unganisha na ile ya jokes.
 
Redundancy Thread......Mod Please Unganisha na ile ya jokes.

jokes ka zako hazina mashiko bora kuwa na wify nikimliwaza kuliko wewe anti LBG si ridhiki
 
Last edited by a moderator:
Sana mpaka wengine tuna jisahau kutunza wazazi mwishowe tunapata lana

laana inatokana na kumkosea muumba bora uoe wako umweke ndani na heshima kwa wazazi idumu,napenda kuwashika huwa ni walaini
 
Back
Top Bottom