TONGONI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2011
- 1,041
- 376
MCHEZAJI WA SERIE B NCHINI ITALY AMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKA UWANJANI KWA KILE KINACHOSADIKIWA KUWA NI "CARDIAC ARREST"
Piermario Morosini aliyekuwa akiichezea Livorno amefariki baadae ya kuanguka uwanjani,Morosini aliyekuwa na umri wa miaka 25 alianguka uwanjani huku kukiwa hakuna mchezaji mwengine karibu yake katika dakika ya 31 ya mchezo.Akionekana kuchanganyikiwa alijaribu kujiinua lakini akaanguka tena wakati gari la wagonjwa na madaktari wakikimbilia uwanjani kumsaidia.
daktari Leonardo Paloscia aliwaambia watu wa habari walifanya kila waliloweza kuokoa maisha ya Morosini bila mafanikio,na daktari mwingine alisema mchezaji huyu alifarika kabla kufika hospital.
Tukio hili limekuja wiki kadhaa baada ya mcheza wa Bolton kukumbwa na mkasa kama huu,katika mechi kikombe cha FA.Lakini kwa namna ya kipekee ikiwa baadhi ya watu tayari walimkatia tamaa aliweza kunusurika.

Last edited by a moderator: