TANZIA Mcheza filamu za ngono maarufu nchini Urusi, Kristina Lisina Afariki Dunia

Hawa wacheza filamu za ngono mbona hufa umri mdogo na vifo vya utata kunani jamani?
Au midudu wanayofanywa huwaharibu akili zao au ushwetani mhhhh?
Depression inawatafuna sana.. jaribu kuoga nje kila mtu anakuangalia, sasa jivike viatu unapelekewa moto huku watu wanakurekodi na wanaweka mtandaoni dunia nzima wakuone.. it is not easy..

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Swali zuri ndugu umeuliza hapa. Naomba nikujibu kwa ninavyoelewa. Katika tasnia ya filamu za kikubwa au porn industry , wanawake ndio wahanga wakubwa sana. Hii ni kwa sababu wanakutana na mambo ya kutisha na ya kusikitisha katika career yao .kivipi? Kwa mfano unakuta mwanamke anafanyishwa ngono na wanaume tofauti tofauti ,kiasi kwamba wakati mwingine inamlazimu kutumia madawa ya kumudu tendo .

Pia muda mwingine hawa wanawake huwa wanapitia physical abuse mfano kupigwa wakati wa kufanywa, kuingiliwa kinyume na maumbile au kufanya mapenzi na wanaume zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja hivyo kupelekea maumivu ya mwili na pia verbal abuse ... Hapa ni unakutana sasa na zile pornography unakuta mwanamke anatukanwa matusi mazito mazito , hivyo basi mwisho wa siku hii hali inawaathiri kisaikolojia na kuwapelekea kuwa na msongo wa mawazo pamoja na sonona/ depression .

Katika ku overcome hii hali wengi wao hutumia madawa ya kulevya ili kuondokana na pia kupata confidence kufanya vitu vichafu /ngono mbele ya kamera in the name of pesa . Na ukiangalia madhila wanayopata wanawake kimwili na kihisia kwenye hii industry ni very disturbing Sana kiasi kwamba wengi wao hawawezi kustahimili muda mrefu hivyo basi solution la kudumu ni kujiua kwa njia yoyote ile ikiwemo utumizi mkubwa wa madawa ya kulevya . Ndio maana wengi wanakufa pasipo hata kufikisha hata miaka 50.
Na pia hata jamii inayowazunguka haitaki kuwa na marafiki na hao wachezaji picha za uchi kiasi kwamba wanajihisi hatia na huzuni hivyo wanaamua kujiua.

Na kingine pia kinachosababisha hawa akina dada kufa katika umri mdogo ni kwamba wengi hukutukanwa mitandaoni/cybebullying . Sasa basi kwa hali hii akiipitia mwanadamu wa kawaida basi hujihisi ametengwa na dunia mwisho wa siku huamua kuchukua maamuzi magumu na kujiua.

Kwa mfano pornstars kama Olivia Lua, Olivia Nova, August Ames, Turi Luv, na Shyla Stylez ni mfano wa mastaa waliokufa wakiwa bado na umri mdogo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo nilizotaja hapo juu.

Wa kwanza katika picha ni Olivia nova, Olivia lua pamoja na august anes wote hao ni marehemu.

View attachment 1844891View attachment 1844889View attachment 1844888
Chief unawafahamu Ghettogaggers.com kina Bootleg na wenzie? Kitu wanawafanyia wadada aisee, inasikitisha sana

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom