Mchepuko wangu wa CBE

Mchepuko wangu wa CBE

Umerudi lini kutoka kwa Obama au deportation imehusika hapa?
 
Tokea awali, yaani tokea nianze kuwa na huu mchepuko, nilihisi kuwa unaweza kuwemo humu ila umejikausha tu.

Sasa leo ndo nimegundua kuwa kweli upo humu.

We toto la Kinyakyusa kwa nini unajikausha hivyo? Yaani umeunyuti unajifanya hata JF hujui inafananaje ilhali upo muda wote humu.

Ndo mambo gani sasa hayo ya kuchorana?

Madhali nishajua upo ingawa unajifanya haupo, dawa yako naikoroga.

Ila gademu...uko mzuri kupita maelezo. Toto hata kipele usoni huna. Ngozi nyororo utadhani ya mtoto mchanga.

Hakika unastahili kuwa mchepuko wa Ngabu. Vigezo na viwango vyake vyote umevikidhi kwa zaidi ya asilimia 80.

Kwako naamini nitakuwa mchepuko wa kudumu.

Toto la Kinyakyusa.....unataka kuchapwa wewe eeh[emoji8]
Take care, pana SIDA pale balaa
 
Nazidi kuwa mgeni Dar..Kangaroo ndo wapi?
Hahahaaa Bossman hupajui Kangaroo?

Ni pale ng'ambo ya Afrika Sana.

Hawalalagi usiku pale.

Pana huduma mbalimbali zikiwemo za dada poa, saluni ya masaa 24, msosi....mi huwa napenda kupitia mbuzi au kuku choma usiku wa manane kama nina njaa na kama naelekea nyumbani.
 
Hahahaaa Bossman hupajui Kangaroo?

Ni pale ng'ambo ya Afrika Sana.

Hawalalagi usiku pale.

Pana huduma mbalimbali zikiwemo za dada poa, saluni ya masaa 24, msosi....mi huwa napenda kupitia mbuzi au kuku choma usiku wa manane kama nina njaa na kama naelekea nyumbani.

Si ndo kona bar hapo?
 
Hmm...sidhani. Kangaroo ipo pale kwenye ile njia ya King D hotel....ila ndo anga hizo hizo.

Inaonekana una hang out Sinza zaidi?
unapajua Brazil Pub Tegeta? opposite na kibo complex?
hisaje je?
 
Watoto wa CBE wanapenda hela balaa.Faham hapo unapendewa hela tu pamoja na kutoa sifa zote hizo kwake
 
Back
Top Bottom