Mchepuko wangu wa CBE

Mchepuko wangu wa CBE

Inaonekana una hang out Sinza zaidi?
unapajua Brazil Pub Tegeta? opposite na kibo complex?
hisaje je?
Hahaaaa Bossman mi na hang out sehemu zote tu. Hata Mburahati huwa napatikana...Buza nako nipo....Majohe...kotekote tu.

Brazil nainyaka sana na nishaenda mara kadhaa hapo. Pande za nyumbani nisizijue tena?

Hata huku Mbezi chini...pale Amsterdam napo ni kiota changu.
 
Tafsiri ya mchepuko ni only kama umeoa au yeye kaolewa
kama wote hamko kwenye ndoa sio mchepuko...muite gf
Huyo hata hadhi ya gf hana inaelekea..nadhan ni side chick tu.
 
vixen.jpg
 
Sawa mchepeko wa kudumu.... asante kwa kunisifia .
I love u mchepuko[emoji8][emoji8]
 
Mapenzi haya jamani.. hadi Prof. Kapuya alikuwa amenogewa na mtoto wa form one.. na analikuwa mchepuko wa Prof.. yaani, above 15 yrs, ni kupigana mashine tu, hakuna cha nn wala nn..

Hainaga ushemeji..!!
 
ha ha ha hadi raha mtu na mke wake mnavyobishana

ILA vale hutaki kushare utamu??? Wanawake tupo wengi kuwa na upendo acha gegedo litumike nyani ngabu Ni rijal akimaliza anaosha anakuja kwako unalitumia.sharing is caring
Hata wewe![emoji27]
 
Back
Top Bottom