Mchepuko wangu wa CBE

Mchepuko wangu wa CBE

usimchunguze tena maana utakuta yupo na badooooooo!
 
Tokea awali, yaani tokea nianze kuwa na huu mchepuko, nilihisi kuwa unaweza kuwemo humu ila umejikausha tu.

Sasa leo ndo nimegundua kuwa kweli upo humu.

We toto la Kinyakyusa kwa nini unajikausha hivyo? Yaani umeunyuti unajifanya hata JF hujui inafananaje ilhali upo muda wote humu.

Ndo mambo gani sasa hayo ya kuchorana?

Madhali nishajua upo ingawa unajifanya haupo, dawa yako naikoroga.

Ila gademu...uko mzuri kupita maelezo. Toto hata kipele usoni huna. Ngozi nyororo utadhani ya mtoto mchanga.

Hakika unastahili kuwa mchepuko wa Ngabu. Vigezo na viwango vyake vyote umevikidhi kwa zaidi ya asilimia 80.

Kwako naamini nitakuwa mchepuko wa kudumu.

Toto la Kinyakyusa.....unataka kuchapwa wewe eeh[emoji8]
Kuna mzazi mwenzio kamlea kwa gharama na maombi! Mungu anakuona!
 
Hahaaaa Bossman mi na hang out sehemu zote tu. Hata Mburahati huwa napatikana...Buza nako nipo....Majohe...kotekote tu.

Brazil nainyaka sana na nishaenda mara kadhaa hapo. Pande za nyumbani nisizijue tena?

Hata huku Mbezi chini...pale Amsterdam napo ni kiota changu.
Buza unakujua dar safari night park?
 
Zinajielezaje?
Hapa JF wengi wetu hatujuani, tunafahamiana kupitia mabandiko mtu anayoyaandika. Mzinzi mabandiko yake mengi ni uzinzi alikadhalika kwa mwanasiasa.

Nadhani umenielewa mkuu.
 
Back
Top Bottom