Mchepuko wa mkulu ni nani?

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,961
Hapa jana nilikuwa naperuzi JF kupitia App ya simu nikamsoma mtu anaitwa mchepuko wa mkulu nilishangaa huyu mtu kilichomsukuma hadi akajipa hiyo ID ni nini
popote alipo mchepuko wa mkulu, aje atufafanulie

1473798007256.png
 
Dah...mijitu mivivu utaijua tu..haipendi kukaa uraiani..inapenda kula bure...
 
Back
Top Bottom