Mchepuko wa Kikorea umeng'ang'ana nirudi nao Tz

Kwa nini hukusema kama umeoa??? Nakuwa mgumu kuamini ila kama ni kweli basi pole
 
Mkuu ushauri ni jambo gumu na hushinda wengi!. Mwandishi was Biblia anasema tukitafuta ushauri kwetu wenyewe tutakuwa tunaongeza dhambi juu ya Dhambi!! Binafsi nakushauri jambo hili:- kwa kuwa kama ni dhambi na uovu mmeshatenda sasa cha msingi usimwambie ukweli huyo mkorea mpaka ufanikiwe maliza semester yako ya Mwisho, anza kuandaa nyumba kwa ajili take either Dar au Arusha ndo mfikie baada ya hapo utamueleza kila kitu huku ukimwambia mkeo kuwa mtihani was Mwisho ulihairisha mpk baada ya wiki mble. Itasaidia kidogo kwani watakao humia sana ni hao wawili pamoja na jamii inayokuzunguka Mkuu!! Pole sana ila hakukuwa na namna huwa wanawake nao sometimes kuwakwepa ni ngumu!!!
 
Nawashangaa wanaokupa pole wakati umejitakia
Ulitakiwa baada ya kumfaidi kula mzigo hata mara 5 ndo ungemwambia ukweli tu potelea mbali
 
Japokuwa ukweli huwa ni mchungu na huna jinsi, jitahidi kumwambia ukweli mkeo Wa Tanzania na huyo mchepuko na itakuwa ndio suluhisho, maana msema ukweli ni mpenzi Wa mungu
 

Fikiria jinsi serikali ya uncle Magu ilivyobana kwa maisha ya kibongo bongo, mleta mada kama muajiriwa atakuwa na uwezo wa kutunza nyumba mbili? I'm trying to be realistic here.
 
kama haya yote ni kweli yaani ni kweli tupu, sina cha kushauri mkuu, handle it yourself
 
be a man kata tiketi nyingine ya ndege, tarehe ya mapema then toroka , badili namba ya simu email, hela iliyo benki yote chukua
Hivyo vingine vyote naweza fanya ila siyo kuchukua fedha yake. Kumbuka binti ana detail na particular zangu zote akienda interpol nitadakwa kama kuku wa kizungu.
 
Hivyo vingine vyote naweza fanya ila siyo kuchukua fedha yake. Kumbuka binti ana detail na particular zangu zote akienda interpol nitadakwa kama kuku wa kizungu.

Be matured katika hii issue kwasababu hujui future ikoje, unaweza kurudi kwa mkutano na kama una fail baya unaweza hata kunyimwa visa. Muombe na Mungu wako akuongoze. Figisu ni kheri zianzie bongo.
 
Well said brother, baada ya mtihani kuna allowance ya wiki kama mbili hivi.
Swala la kujadiliana na huyu binti halitakiwi kabisa kwa sababu alionyesha dalili za kuwa makini ukimwambia nataka kwenda Shangani au Busan yeye anaweza kusema twende wote. Kwanza kwa muda aliokuwa nami amekata mawasiliano na ndugu jamaa na rafiki kampani yake ni mimi, hawezi akakaa siku nzima bila kuonana.
 
Sasa subiri wakorea wakuzibue mashuti ndo utaelewa panya road
 
Ukipika chai make sure inakuwa ya maziwa siyo kutupikia chai ya rangi kwa kutumia mavi ya ngombe halafu haina sukari au vipi? btw shule ipi ya Kata unayosoma?
Kama ni chai feki huulazimishwi kunywa.
 
Mkuu Lube, hiyo accident ishatokea !! sasa wee ni Rijali dume unahitajika TZ na KOR.. hivyo simama imara with your head up !!
chukuwa ushauri " Do not let your difficulies fill you with ANXIETY, it is only in the darkest Night that the stars shine more brilliantly"
mwambie mkorea una ndoa ya kimila (afrikcan culture) na huko Bongo mwambie shem maji yalizidi udongo.. kama binadamu yametokea.. !!
Hapo wewe ni winner winner tu!!
 
Ni kweli kabisa kila mchuma janga hula na wa kwao, mpigie simu mama watoto msimulie A to Z, don't worry, huku ukilia mbaya (kinafki) jibu atakalo kupa litafungua mlango wa PILI. BELIEVE me ma frend
 
Wewe naye!!! Sijui ndo kunogewa. Jaribu kumtafutia kijisababu uanze kumzoesha kukaa naye mbali...akikuudhi kidogo unakuwa mbogo haswa ikiwezekana unajidai umewamba hutaki mawasiliano naye kwanza. Kidogo kidogo ataanza kulegea mwenyewe. Ikishindikana basi nenda hata hadi huko Busan then mtoroke nenda Japan kwa meli...hakikisha mizigo ya mhimu umemwachia jamaa yako ili aje nayo. Hili saga solution ni kutoroka...Hata unaweza ukacancel ticket pia ukajifanya kutafuta kazi hapo korea...then baada ya muda unatoroka. Familia yako inahusika zaidi, huyo mtoto wa kikorea akikua atakuja kukutafuta, kama Barack Obama alivyofanya!!
 
Mimi natamani akufanyie kitu ambayo itakuwa funzo kwa wanaume wa bongo.... mmezidiiii yani mnafanya michepuko kama kitu cha kawaida kabisa kisa nyege mshindo sasa ule jeuli yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…