Hamuwezi wote tukajitambua siku moja, tunawaombea na wengine wazidi kujitambua
kujitambua sio kwa kuamua kubaki katika kuamini kuliko vitendo.. Mwanamke Mzuri na Muelewa ni YuLe Anayepima kila neno na Kuchukulia kila Tendo kwa Uzito wa juu.. Huwezi kujitambua ikiwa Huna Maamuzi katika muongozo wa Kile Unachokiamini. Lawama kwa sisi Wanaume hazitakwisha kwa kuwa bado mnataka wenyewe kuchezewa
Kama vile umeandika hii thread kwa ajili yangu! I'm in exactly similar situation. Mchepuko wangu ulonifundisha vitu adimu umepata mchumba.Aliniarifu kwenye simu akawa anabanwa na kwikwi anashindwa kuongea sawasawa. Nikamwambia it's ok, endelea na maisha yako dada, ila rohoni inauma kweli aisee!
You are very right man to have done what you did 'cause we should never be barriers to other people's path of life.
wa kwangu kaolewa ila siku kabla ya harusi akanitext naolewa ila mapenzi yote kwako na anataka tuendelee. na bado naletewa papuchi. haya maisha ya ndoa noma sana.
Habari ndo hiyo
haswaa