Sijui shem coz sina mchepuko. Ila kikawaida michepuko huwa inadanganywa kwa misifa kedekede ili ionekane yenyewe ndo top, kumbe hakuna kitu
Si mnasemaga kucheat ni nature yenu eti. Kwa hiyo hata mle hadi mvimbiwe majumbani kwenu, mtafika barabarani mtamani juice ya ukwaju tena mwee
Wakuu sihitaji kutukanwa maana its too late for that! n its a true story....
Nataka tu ku 'share nanyi my story.. We've dated for more than 4 years, mabonde na milima tumepitia..tumeshibana sana...ni zaidi ya mchepuko kwangu. Hakuwahi kuniharibia home, alikuwa very understanding...we enjoyed each other's company! i dare to say that WE LOVE EACH OTHER!
Kaniambia anataka kuolewa now..na bwana kashampata....ingawaje bado tunapendana ila sina jinsi!Najisikia vibaya sana, but i have to let her go akaanze maisha yake mapya ya familia...I'm sure hata akiwa huko anaweza bado kunipa mzigo kwa jinsi tulivyoshibana...Lakini sitaki hilo litokee, sijui ntalizuiaje?
Nenda salama mama nenda, nafuta namba zako zote na ku block kila kinachokuhusu, nenda salama mama. Chonde chonde mheshimu mumeo, ingawa humpendi kama unavyonipenda mimi...ila sina jinsi i have to let u go!..Sijui kama nichangie harusi ama lah! na nihudhurie ama lah! nisije kulia mbele ya kadamnasi bure....nenda salama mama, i'll always miss you!
Mkuu uta sail daima?Duuh kumbe ndo inavokuwaga aiseeh mna kazi sana mlioko kwenye kifungo cha ndoa na mahusiano ya muda mrefu.
Thanks God am sailing on the bachelor's boat yiipiiiii.
Teh teh...sio kila siku unakula mchicha tuu...unakinai. hata kama unashiba na kuvimbiwa lazima utafute flavour tofauti tofauti
Why would you get married to a man you don't love? Peer/society pressure?
Teh sasa asipokudanganya na visifa, utaingiaje king?Kumbe una experience na hii kitu...!
Kwendreni zenuTeh teh...sio kila siku unakula mchicha tuu...unakinai. hata kama unashiba na kuvimbiwa lazima utafute flavour tofauti tofauti
Kuvaa tu? Si unaweza kusubiri ukavaa kwa unayemkubali, au unajinunulia mwenyewe unatupia mara kadhaa.Kiu ya kuvaa shela
Nna uhakika account yako imekua hacked, ikirudishwa utoe taarifa.....
Teh sasa asipokudanganya na visifa, utaingiaje king?
Kwendreni zenu
Yeah I will sail in bachelor's boat for the rest of my life. I don't need a change.Mkuu uta sail daima?
Sijui kwanini tuu, yani mchepuko anakupa sifa zaidi ya mke. Hadi unajifeel upo wapi sijui kumbe mchepuko...
Acheni hizo...
He he my mama, my dada,my bibi...
You just miss alot.....
Yeah I will sail in bachelor's boat for the rest of my life. I don't need a change.
My eyes are wide open all the time am not missing a thing full enjoyment and pleasure....
Mdogo wangu, mwanangu, mjukuu wangu wafikiri sijui kinachoendelea..........? na Utu uzima huu nilionao nafahamu na najua kilakitu kinachoendeleana from AM to PM......... Upooo. ...... najua na wao watasoma hapa hivo hamna haja ya kuwaambia.Tatizo hujui kama unamiss,
Nitakutafutia mbabu japo awe anakufariji kidogo.....siku moja moja....angalau.
Kuna raha...bibi
Eeh,kaka na dada tena kwa watu ambao wameshananiliu jamani..hapo wafanye tu kama hawajahi kujuana,kila mmoja atakuwa safe.