Mchepuko unaolewa

Mchepuko unaolewa

SirBonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2010
Posts
378
Reaction score
436
Wakuu sihitaji kutukanwa maana its too late for that! n its a true story....

Nataka tu ku 'share nanyi my story.. We've dated for more than 4 years, mabonde na milima tumepitia..tumeshibana sana...ni zaidi ya mchepuko kwangu. Hakuwahi kuniharibia home, alikuwa very understanding...we enjoyed each other's company! i dare to say that WE LOVE EACH OTHER!

Kaniambia anataka kuolewa now..na bwana kashampata....ingawaje bado tunapendana ila sina jinsi!Najisikia vibaya sana, but i have to let her go akaanze maisha yake mapya ya familia....

I'm sure hata akiwa huko anaweza bado kunipa mzigo kwa jinsi tulivyoshibana...Lakini sitaki hilo litokee, sijui ntalizuiaje?Nenda salama mama nenda, nafuta namba zako zote na ku block kila kinachokuhusu, nenda salama mama...

Chonde chonde mheshimu mumeo, ingawa humpendi kama unavyonipenda mimi...ila sina jinsi i have to let u go!..Sijui kama nichangie harusi ama lah! na nihudhurie ama lah! nisije kulia mbele ya kadamnasi bure....nenda salama mama, i'll always miss you!
 
Umefanya jambo la busara kumwacha aende kwenye destiny yake. Hiyo ndio maana ya kumpenda mtu. Ni kumtakia kila la kheri katika jambo litakalo mfeva yeye hata kama wewe halikufevi.... Kumchangia mchangie kumuwezesha ila sikushauri wewe kuwepo eneo la tukio siku ya harusi...
 
Ni jambo la busara na utu ulilolifanya kwa huyo bi dada,ushauri wangu kwako bakini kama kaka na dada mnaoheshimiana,kuthaminiana na kujariana.
Usithubutu kuuendeleza uhusiano wako na yeye maana kufanya hivyo ni kuhatarisha ndoa yake na kumsababisha abaki mchepuko
 
Its A Wise Decision To Let Her Go And Dont U Dare Try To Find Another Mchepuko To Cover Her Space. Just Remain Wise And Faith 2ua Bloved Wife
 
Ni jambo la busara na utu ulilolifanya kwa huyo bi dada,ushauri wangu kwako bakini kama kaka na dada mnaoheshimiana,kuthaminiana na kujariana.
Usithubutu kuuendeleza uhusiano wako na yeye maana kufanya hivyo ni kuhatarisha ndoa yake na kumsababisha abaki mchepuko

Eeh,kaka na dada tena kwa watu ambao wameshananiliu jamani..hapo wafanye tu kama hawajahi kujuana,kila mmoja atakuwa safe.
 
Kuna mambo yanaumiza jamaniii sipati picha bibie getting married na asiempenda.....Mungu niepushe na maumivu ya namna hiii

Brenda, Brenda. Why would you get married to a man you don't love? Peer/society pressure?
 
Umefanya jambo jema, kika lenye mwanzo lina mwisho
 
Duuh kumbe ndo inavokuwaga aiseeh mna kazi sana mlioko kwenye kifungo cha ndoa na mahusiano ya muda mrefu.
Thanks God am sailing on the bachelor's boat yiipiiiii.
 
Hivi unaweza ukauambia mchepuko "nampenda mume wangu, kuliko navyokupenda wewe"?
 
Sijui shem coz sina mchepuko. Ila kikawaida michepuko huwa inadanganywa kwa misifa kedekede ili ionekane yenyewe ndo top, kumbe hakuna kitu

oooh hivi ni ipi faida ya kuwa na mchepuko ikiwa mwenzi wako anafanya kila kitu? Au ndio ile Mchicha chuku chuku huwezi kula kwa wali?
 
Pole sana lkn hakuna namna. Let her go na ubadili tabia sasa acha
 
Duuh kumbe ndo inavokuwaga aiseeh mna kazi sana mlioko kwenye kifungo cha ndoa na mahusiano ya muda mrefu.
Thanks God am sailing on the bachelor's boat yiipiiiii.

He he my mama, my dada,my bibi...
You just miss alot.....
 
Back
Top Bottom