Mchepuko Umeniponza

Malay utawajua na thread za kijinga kama hizi melo inabidi uwapige ban
 
Malay utawajua na thread za kijinga kama hizi melo inabidi uwapige ban

Wewe sasa mtakatifu! Alafu mbona aliyeomba mumshahuri alishasema wenye sonona mtulie bwana kibwengo. Ebu lete ushahuri inawezekana akawa dada yako huyu ujue
 
 
angalau toa credit kwa page ya vichekesho ulikoitoa hii.

Na iki kichekesho kutoka wapi?

Dears mwenzenu usingizi haupandi hapa nna mawazo. Niko na mkaka Fulani kwenye mahusiano, tumejuana muda mrefu kipindi tuko shule. Tumekutana kimwili Mara moja ila Ile siku sitaisahau. Kaka kajaaliwa mzigo aisee na ujanja wangu wote nliishia style ya kifo Cha mende. Baada ya hapo nkaumwa nyonga na mapaja siku 2, na anaweza kaa hapo kifuani lisaa lizima. Jamani leo kaniambia anataka afuate utaratibu tufunge ndoa. Yaani Nina mawazo sielewi. Ndoa nataka ila mmmh!
Njoon mnifariji Basi jamani au mniambie nawezaje kuishi nae na maumbile hayo
 
Nakujua pm mama tushauliane
 
vipi ushauri wangu unauhitaji? Kama utauhitaji niambie nikwambie ufute kichwa Cha uzi na uandike nini
 
CHAI japo ya moto hii


ila wewe si muuza utamu maarufu kabisa.


Ila any ways....
 
vipi ushauri wangu unauhitaji? Kama utauhitaji niambie nikwambie ufute kichwa Cha uzi na uandike nini

Ushahuri wako baki nao mkuu utamfanya anayeomba ushahuri akose raha zaidi
 
Tangawizi nyingi sana

Na hii nayo

Niliwah kutana na baba mtu mzm sana Arusha to dar baba yule alikua wa kipekee kwanza kabisa alikutana na mwanangu wa miaka mitatu anaongea akaanza kupiga nae stor baba yule aliashuka same kwa heshima na taadhima aliingia mfukon mwake akatoa elfu 40 akanikabidhi ya mtoto ya juis nilijilaumu sana kwann sikupiga nae story za kumchekea chekea labda angeacha zaidi wewe baba tuliyekutana naomba unitafute niliona ulikuwa unachat JF nitafute nikupe maendeleo ya rafiki yako uliyempa pesa ya juisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…