Hata mimi naona wanazidi kupungua halafu huyu eti baba wa familia badala ya kulea watoto wake maadili yy anawaza kuachwa na mchepuko [emoji15] [emoji15] [emoji15]Idadi ya wanaume inazidi kupungua
Mtoa mada nenda nyumbani kwa mama watoto mpange maendeleo acha kuwaza upupu
Mikakati mnayopeana wakati anarudi anakutana naye mke anamchepuko sijui atafanya nini!Mwambie ukweli mchepuko na kuwa ushahidi ya kwamba unajua kuwa ana mtoto na mengine zaidi kuhusu yeye halafu utamsikilizia atachukua hatua gani, ila kama una mpenda tafuta njia yeyote ile umueleweshe vyema nadhani atakuelewa na si mbaya ukimuomba msamaha.
Hahahaaa atapambana na hali yake tu atajiongeza mwenyewe tu.Mikakati mnayopeana wakati anarudi anakutana naye mke anamchepuko sijui atafanya nini!
Sent using Jamii Forums mobile app