Mchepuko anataka anizalie mtoto

Maana ake upo tayr kuzaa nae
 
Ni kweli mkuu kuna uwezekano huo
Uwezekano upo kwa 100%..hawa viumbe wanabadilika sana...Leo hii atakua mpole tabia njema blah blah...ukingia mtegoni ukampa mimba ataanza Na wew taratibu..siku atakuomba kiasi kikubwa cha pesa..ukigoma atakutishia kuvujisha siri kwa wife...kwahiyo ataitumia hiyo kama fimbo kukukamua pesa anazotaka
 
Upo tayari kuona damu yako inalelewa kwa siri?
 
Nashukuru sana mkuu,kuna kitu nimejifunza hapa
 
Ooh aisee naona unapotea sasa...! Yaani upo tayari kumpa mtu ujauzito sababu tu anapenda!!??
hawa warembo wananguvu sana,mkiwa wawili tu sehemu iliyojificha unawezajikuta majibu yote yanakuwa ni yes yes tu.
 
N
ke 1,me 2;hii imetokea tu kwa mtu wa nje naye kupenda kuwa na mtoto na mume wa mtu
Naona na wewe unaona kuzaa nje ni sifa, ni hilo tu ndiyo linalokusumbua mpaka ukaleta huu uzi hapa!! Ingawa unajua athari zake...

Mzalishe basi kama unamuonea huruma!
 
N
Naona na wewe unaona kuzaa nje ni sifa, ni hilo tu ndiyo linalokusumbua mpaka ukaleta huu uzi hapa!! Ingawa unajua athari zake...

Mzalishe basi kama unamuonea huruma!
ha ha ha ha bado najaribu kuchekecha kichwa,faida na hasara zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…