Mchepuko anataka anizalie mtoto

Ni kweli mkuu uko sahihi,kwa sababu kuna muda mwingine huwa anapiga simu usiku mkali na kuniuliza niko na nani
Duuh! Huo mchepuko wako lazima ukuharibie,siyo tu mbeleni, muda si mrefu!

Halafu mbona unajielewa ila unajifanya tu uelewi...!!
 
Mkuu acha iyo kitu itakuja ikukosti mbeleni huko isitoshe mungu kakujalia kid 3 sasa unataka uzae nnje hili iweje kama kungekuwa na sababu sawa wewe inachotakiwa kufanya kula mzigo jiondokee
Bi mdogo ameshamwambia hapo lazima aegeshee,so hiyo mimba ataipata tu! La muhimu ni amuache kabisa.. akimbie hiyo laana itamtafuna!

Amsikilize Bill na mistari amemuwekea.
 
Ikishazaa mtoto ata ku control na hutakuwa na cha kumfanya maana utataka mkeo asijue na hiyo ndio itakuwa fimbo ya kukuchapia kila atakalosema lazima ulitimize
 
Ikishazaa mtoto ata ku control na hutakuwa na cha kumfanya maana utataka mkeo asijue na hiyo ndio itakuwa fimbo ya kukuchapia kila atakalosema lazima ulitimize
Ha ha ha ha,ni kweli na inaweza kuwa ndio malengo yake
 
Duuh! Huo mchepuko wako lazima ukuharibie,siyo tu mbeleni, muda si mrefu!

Halafu mbona unajielewa ila unajifanya tu uelewi...!!
Ha ha ha ha mkuu haya mambo hayanaga ujanja;ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu
 
Lazima uwe na malengo maishani.
Kwani una mpango wa kuwa na watoto wangapi? Unawazaa na nani?

Unaruhusuje mambo yanayotokea ghafla kushape future yako na familia..?
Ni kweli mkuu,watoto sio tatizo;changamoto ni pale unapokutana na mtu akapenda umpatie ujauzito/mtoto
 
ke 1,me 2;hii imetokea tu kwa mtu wa nje naye kupenda kuwa na mtoto na mume wa mtu
 
Kumbe unajua kitakachotokea huko mbeleni,unatusumbua bure tu hapa.Ni sawa na kuona mtu ameingia chooni halafu unaanza kuuliza,hivi yule aliyeeingia msalani ana kikojoleo au kinyeo kweli?Hahahahaha!!!

Usitupotoshe.
ha ha ha ha ha
 
Ni kweli mkuu,jibu nililompatia mpaka sasa hivi ni kuwa kuna mambo nayaweka sawa kwanza ndipo nitekeleze wazo lake
 
Kiongozi janga hilo..
Hayo aliyoyasema kwamba hataingilia familia yako ni maneno tu ya kawaida... SIKU AKIZAA NDO UTAJUA

ACHANA NAYE, ACHIA MBALI KUZAA NAYE
Asante mkuu nimekuelewa
 
ha ha ha ha mkuu inawezekana wewe ni nabii sio kwa hiyo mistari
 
Hao watatu hawakutoshi?
Wewe utakuwa una hamu ya kufarakanisha tu familia yako.
wananitosha mkuu,changamoto ni huyu wa nje naye anataka nimpatie angalau mmoja
 
Wazo zuri..
 
Usijaribu hata kwa bahati mbaya... utakuja kuvuliwa nguo... utakuja kujuta...

Ukizaa nae tuu, nae tayari ni sehemu ya familia yako...


Cc: mahondaw
Ni kweli mkuu,nakumbuka kuna siku alisisitiza kuwa tuko wawili tu,bi mkubwa na yeye na hataki kusikia mtu mwingine
 
Anatafuta pa kutua mizigo yake
Ni kweli mkuu,kuna mawazo ya biashara aliyaleta tujadiliane namna ya kuzifanikisha;lengo kubwa ni yeye aweze kuzimiliki hizo biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…