Mchepuko amenipania

Wiki ijayo nimepanga kwenda mkoa flani wenye baridi naenda kwa shughuli zangu binafsi but kuna single mom mmoja nilimpata huko mwezi wa kwanza sasa nimemwambia nakuja next week kaanza kuagiza bidhaa

View attachment 1104190
Hajakuelewa ulipoandika K umemaanisha nini labda umeandikie hapa nini umemaanisha
 
Hahaha eti ya Nani??????anadhani k Ni bidhaa adimu km zamani!siwezi mpa mchepuko vitu hivyo Ni Bora nimpe mwanamke permanent..

Unataka udumu na mchepuko hadi ukuloge
 
Back
Top Bottom