mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
Aoe wote kama dini inaruhusu
jamaa ana mpenzi wake wa long time kitambo. msichana alikuwa nje ya nchi kimasomo mawasiliano na maelewano kama kawaida(kiufupi wanapenda sana). walipanga mchumba akimaliza wafunge ndoa. mchumba amerudi ndoa tarehe 28/9.
wakati mchumba yupo masomoni jamaa akaona si mbaya kutafuta wa kuzugia(mchepuko). mpaka sasa mchepuko anadai ana mimba ya jamaa na anasisitiza kuwa ndoa haitafungwa na hata ikifungwa hawataishi pamoja atamuua jamaa.
jamaa analia kama dame hajui afanye nini anaona kama mchepuko anaingilia mapenzi yake hivi.
me kama rafiki nimeshindwa kumshauri ila nikaona si mbaya kuwashirikisha wana MMU tumsaidie ushauri kijana wenzetu afanye nini?
Hata mimi nisingekubali.
rafiki yako alifanya kosa kubwa sana la kuuambia mchepuko kuwa anaoa muda si mrefu. mchepuko umejiridhisha kuwa jamaa ni husband material na haupo radhi kuona unapokonywa tonge mdomoni. wewe mwambie kijana alipoti polisi na kutishiwa kuuawa na aendelee na mipango yake ya harusi.
Hata mimi nisingekubali.
Abadili dini ili aoe wote..na wa 3 anaweza kuongezamkuu, dini yake hairuhusu kuoa wake wengi na anadai hana mapenzi na mchepuko(alikuwa wa kuzugia)
Hata mimi nisingekubali.
mkuu, dini yake hairuhusu kuoa wake wengi na anadai hana mapenzi na mchepuko(alikuwa wa kuzugia)