Mchepuko almanusra udakwe bafuni

Strictly business! No more romantic words!
Hahahaaaaa......
 
Ha ha haaaaa.... ngoja housegirl wako ndo aanze kuenjoy penzi la mumeo kwa wizi wizi... by the way kumbe na nyinyi hua mnaenjoy sana kugegedwa? sasa mbona pozi zinakuaga nyingi?
 
Ha ha haaaaa.... ngoja housegirl wako ndo aanze kuenjoy penzi la mumeo kwa wizi wizi... by the way kumbe na nyinyi hua mnaenjoy sana kugegedwa? sasa mbona pozi zinakuaga nyingi?
pozi ndiyo ashki ashki
 
Sichepuki miss, mahaba yangu ni kama yanazaliwa upya kila siku!

Mke wangu ni mpenzi na rafiki yangu. So sio rahisi hisia zetu kufa natural death!
mkuu hongera aisee safi sana .. ila kuna wakati mnapishana huwa mnafanyaje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…