Mchepuko almanusra udakwe bafuni

Lkn tunakoelekea nina uhakika kama mamb yataendelea hv kuoa itakua hain maaana maaana ukioa wanakulia ,na hpo we unatunza xx kunaumuhim gan was kutunza
 
Dah for real hapa kuna ukwel ..... Wanaume tunajisahau baada ya ndoa
 
naombeni kuuliza wanawake una mume ndani unagegedwa kila siku hivi mechi zingine za mchangani kama hizi ni za nini ?
ukame ,umalaya au ni nini?
Ni mechi za ugenini hizo zina umuhimu wake magoli yake ni muhimu sana yanaweza kukupa ushindi
 
Mahabat,.,.,.,.sio mchezo,yaani text za kulowesha au vipi mama Temba.
 

.......Sijawahi kucheka kama leo!
 
nilivoisoma hii nimeelewa kuwa wewe mtoa mada ndio umekutwa na huu mkasa
 
"Miss Natafuta, post: 17920935, member: 325782"]wanabakwaje?[/QUOTE]
Mwanaume kusimamisha ni sekunde na hapo anakua tayari kuingia kwa mwanamke, lakini mwanamke inamchukua Muda kuwa tayari, kubakwa kunakuja kwamba mtu haandai mwanamke ye anachomeka tu
 
unaongea ukweli hadi basi!
kuna saa huwa tunarukia tunda tu, hatuoshi ndio maana ndoa zetu zina kipindupindu cha wizi!
ki kawaida, mke anapungua utamu kadri unavyoishi naye, na mapenzi yanakuwa more of responsibilities kuliko hamu (hii kwa midume mingi). michepuko huwa inatamanisha Zaidi na ile "hard to get" huwa inampa raha sana dume, yaani miss chagga kama mwanaume kakupenda leo, na leo hii ukatoa mzigo, hata uwe mrembo vipi bado jamaa ataona una mapungufu, kuna phases kadhaa za catch me if you can hajapitia ile mihemko inakuwa sio mikubwa. just an average girl akiutoa mzigo kwa mbinde, ile kimbizana na trick ambazo mwanaume katumia huwa ni sehemu ya starehe!
back to ndoa, mazingira hayo hayaji tena, instead locations za game zikibadilika nazo u-boost tendo! vihamasisho kama text messages, nyimbo au attires nyingine kama shanga, bikini, au mitego tofauti huwa inaleta hamu kidogo kuwa juu!
Labda cha mwisho ni huku kutukumbusha kuwa huwa mnataka kufanyiwa nini!
Asante miss chagga kutufanya tukumbuke mambo mengine ya ziada!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…