Mchepuko almanusra udakwe bafuni

Mimi nikikukamata, nafukuza mke, na huyo jamaa nakata dushe Lake
 
Hahahahaha
miss chaga na wewe umo nn maana.
 
Kwa jinsi ulivyoihadithia laziima utakuwa we we ndio ulijinusuru na kasumba hiyo.....
 
Umeolewa Lin miss chaga?au ndio story ya kufikirika ukiolewa.....
 
Ubaya ni kwamba ukimpenda Sana Mke wa MTU...mumewe akiwa karibu unapatwa na wivu na hasira kwa pamoja, Una tamani jamaa awe mbali muda wote.
 
Bafuni, akafungua mlango, akatoka, mlango ukajibamiza, akadumbukia kwenye mtaro wa maji machafu, mume wake akamulika mulika.
sidhani kama bafu kama hili watu wanaweza kulitumia kama secret love nest!
 
wakwangu hata tukiwa chumbani wote tunatumiana text zakimahaba zakuombana mzigo
 
anedakwa ndo angejua uchungu wa mke
 
Kumbe nyie wanaume wa mikoani ndiyo bure kabisa, pauchi mnalia chooni!!! mbafuu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…