Mchengerwa ni nani?

Mchengerwa ni nani?

Ngwathra

Platinum Member
Joined
Jul 11, 2007
Posts
5,914
Reaction score
11,110
Kwa miaka ya karibuni huyu bwana amepanda sana chati na kuwa mmoja wa mamastermind wa uendeshaji wa nchi hii. Ukiacha nasaba na kuwa mkwe wa mama lakini pia ni waziri mwandamizi anayefoka kwenye maongezi yake kwamba yeye ndiye boss wa wakuu wa mikoa so hamna atakayefanya lolote anapoagiza. Ukitazama kwa undani kidogo utagundua mama kamuachia pia maamuzi yote ya ofisi kuu. Kaibuka ghafla sana, je ni merits kwamba ni smart sana, elimu nzuri anayo au tu kwa kuwa mkwe wa mama? Hatumjui vema katoka wapi

Anapojinadi anakua kavaa kofia ya kikomunisti (nafikiri anamuiga Che Guevara) ambayo bahati mbaya sana vijana wa kisasa hawajui hata maana yake, nikifikiri ndio message anayotaka kuwapa.

Kwa mustakabali wa nchi yetu, na kuwajua viongozi wetu vizuri, na kwa nguvu aliyonayo sasa sio ajabu kabisa kuja mbele ya safari kuona anapewa uongozi wa nchi, ukizingatia trend ya sasa na uongozi kwenda kwa ndugu na jamaa wa familia zilezile, sisi kenge wa mama naamini tuna haki ya kumfahamu vyema.

Wanabodi wa nyumba hii wanafahamu mengi na hebu sasa tufunguke kumfahamu vyema mkomunisti huyu wakati tukiendelea kuona itikadi hiyo ikifa taratibu!
 
Mchengerwa

Ni MP wa rufiji
Amemuoa mtoto wa Mama Samia anaitwa Wanu Hafidhi .

Kwahiyo ipo hivi mke wake ni mbunge , mkwe wake rahis hivyo yaani.
 
Kwa mustakabali wa nchi yetu, na kuwajua viongozi wetu vizuri, na kwa nguvu aliyonayo sasa sio ajabu kabisa kuja mbele ya safari kuona anapewa uongozi wa nchi, ukizingatia trend ya sasa na uongozi kwenda kwa ndugu na jamaa wa familia zilezile, sisi kenge wa mama naamini tuna haki ya kumfahamu vyema.
Yaan unamaanisha 2050 rais Nchengerwa sio Wanu tena? Mnabadirisha mafaili kwa hio akitoka Nchengerwa anaingia Wanu au wanapiga Collabo?
 
Ungeelewa vyema sijauliza location ya kuzaliwa, bali background yake ungejitendea haki sana mkuu
Ingia kwenye account yake ya Bunge wamekuelezea kila kitu background mpaka foreground, wewe tu kumchambua halafu pia nadhani sio mtu wa kujificha hivyo strategy ni moja tu wewe jifanye mshika dini haswa yaan Shekhe maana Baba yake alikua Alikhaji huko kwao na kafia Macca sijui Madina kisha nenda kaongee nae atakwambia kila kitu
 
Bunge la uchakachuzi hilihili mkuu? Unaliamini? Nauliza wadau maana historia na background zinafichwa kwa maslahi ya watu, kumbuka account ya ponjoro la K'ndoni ilivyofanyiwa mandingo baada ya kutofautiana na Gwajiboy, majuzi tu hapa!
 
Mkuu ukiuliza swali weka mtiririko mzuri.

Yani ni kwamba nawauliza wanaomfahamu, kwa sababu information zilizopo kwenye public domain haziaminiki, lakini kuna watu humu waliosoma naye, wana na waliofanya naye kazi, waliokua naye pamoja.. Hawa wanajua ukweli mwingi kuliko maandishi ya masisiemu yaliyopo public. Then hii ni forum tu mkuu sio academic work, so tunaulizana tu casually hamna cha mtiririko wala nini, as long as swali limeeleweka unatiririka tu, sio big deal
 
Back
Top Bottom