donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Yaan imekosekana bombardier tu ya kupooza koo
Ngoja nikutumie picha ya bungo kama udend hatutatokanishashiba ugali maharage hata udenda hautoki
HeheUmeshaanza
[emoji12] [emoji12]Ngoja nikutumie picha ya bungo kama udend hatutatoka
Tunatamanishana dadaHuo mimi ninauchemsha na matoke.
raha ya mchemsho ukimaliza kula basi uwe na kamwari pembeni, muanze gameHuo mimi ninauchemsha na matoke.
Yaan imekosekana bombardier tu ya kupooza kooView attachment 743060
Aiseee utanogajeHuo mimi ninauchemsha na matoke.
Hahah, kweli mkuuBombardier ya nini, ulimuhitaji tu Mmakonde (konyagi) ushushie vizuri.
Sayansi ya afya na lishe inasema mkisha kula mpumzike.Huyo "mwali" atapata nafasi baada ya mmeng'enyo.Laa sivyo unaweza ku-"puke" kwenye kifua chake.Hahahahahaaaaraha ya mchemsho ukimaliza kula basi uwe na kamwari pembeni, muanze game
Hahaha, wewe ni mwana jiografia au baiologiaSayansi ya afya na lishe inasema mkisha kula mpumzike.Huyo "mwali" atapata nafasi baada ya mmeng'enyo.Laa sivyo unaweza ku-"puke" kwenye kifua chake.Hahahahahaaaa
HeheheUkitaka kujua mtu kaamka na hangover
Wa "jogorafii" niliyespeshelaizi kwenye niutrishen mkuu!HahahahahaaaaHahaha, wewe ni mwana jiografia au baiologia