kamanda mbigi
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 1,241
- 1,546
Clouds ndo maana mnavamiwa na mi binduki, kama mnao kwanini msipeleke sampuli kwa waziri wa afya ili achukue hatua?Ikumbukwe wiki kadhaa zimepita paliibuka uvumi wa uwepo wa mchele wa plastic hapa nchini unaosadikiwa kutoka nchini china. Lakini baada ya muda TFDA waliibuka na kusema hakuna kitu kama hicho hapa nchini.
Leo hii katika kipindi cha cha "leo tena" watangazaji wamesema huo mchele waliletewa jana na walifinyanga tonge na kuurusha chini na ulikua unadunda kabisa. Na mpaka naandika uzi huu wamesema huo mchele wanao hapo studio.
Source; Clouds Fm
My Take;
TFDA badala ya kukaa ofisini mnapulizwa kiyoyozi kwa nini msikimbie hapo mikocheni kwenye studio za clouds fm mkachukue sample yao mkaipime pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh ,,hatari kwelikweliKujua kitu ni plastic au sio plastic ni kudundisha?
Ikumbukwe wiki kadhaa zimepita paliibuka uvumi wa uwepo wa mchele wa plastic hapa nchini unaosadikiwa kutoka nchini china. Lakini baada ya muda TFDA waliibuka na kusema hakuna kitu kama hicho hapa nchini.
Leo hii katika kipindi cha cha "leo tena" watangazaji wamesema huo mchele waliletewa jana na walifinyanga tonge na kuurusha chini na ulikua unadunda kabisa. Na mpaka naandika uzi huu wamesema huo mchele wanao hapo studio.
Source; Clouds Fm
My Take;
TFDA badala ya kukaa ofisini mnapulizwa kiyoyozi kwa nini msikimbie hapo mikocheni kwenye studio za clouds fm mkachukue sample yao mkaipime pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu muungwana tuambie utakua ni Michele wa nini huo!? Maana ule upatikanao kwa mpunga huwa ukiufinyanga na kuutupa chini unaparavganyika woteTatizo kipimo kimekuwa too cheap yaani kuudundisha chini ukadunda kama kitenesi ndo kusema ni plastic, kwanini wasijaribu kuuchoma moto km utayeyuka na kuwa ujiuji hapo sawa. Hiyo ya kudundisha chini ni local sana
Ikumbukwe wiki kadhaa zimepita paliibuka uvumi wa uwepo wa mchele wa plastic hapa nchini unaosadikiwa kutoka nchini china. Lakini baada ya muda TFDA waliibuka na kusema hakuna kitu kama hicho hapa nchini.
Leo hii katika kipindi cha cha "leo tena" watangazaji wamesema huo mchele waliletewa jana na walifinyanga tonge na kuurusha chini na ulikua unadunda kabisa. Na mpaka naandika uzi huu wamesema huo mchele wanao hapo studio.
Source; Clouds Fm
My Take;
TFDA badala ya kukaa ofisini mnapulizwa kiyoyozi kwa nini msikimbie hapo mikocheni kwenye studio za clouds fm mkachukue sample yao mkaipime pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
HUO MCHELE UPO, TUUITE BANDIA ILA SIO PLASTIKIKujua kitu ni plastic au sio plastic ni kudundisha?
Plastic ni product ya hydrocarbons kwahiyo ukiichoma utajua tu. Nahisi hapa sio plastic labda material nyingine lkn pia huenda isiwe salamaTatizo kipimo kimekuwa too cheap yaani kuudundisha chini ukadunda kama kitenesi ndo kusema ni plastic, kwanini wasijaribu kuuchoma moto km utayeyuka na kuwa ujiuji hapo sawa. Hiyo ya kudundisha chini ni local sana
Clouds ni chombo cha habari. Kazi yake ni kuhabarisha!Clouds ndo maana mnavamiwa na mi binduki, kama mnao kwanini msipeleke sampuli kwa waziri wa afya ili achukue hatua?
Tatizo kipimo kimekuwa too cheap yaani kuudundisha chini ukadunda kama kitenesi ndo kusema ni plastic, kwanini wasijaribu kuuchoma moto km utayeyuka na kuwa ujiuji hapo sawa. Hiyo ya kudundisha chini ni local sana
Kwani ukichukua wali wako uliopika Kwa Mchele safi Wa shambani kwako ukiudundisha utadunda au utasambaa?Tatizo kipimo kimekuwa too cheap yaani kuudundisha chini ukadunda kama kitenesi ndo kusema ni plastic, kwanini wasijaribu kuuchoma moto km utayeyuka na kuwa ujiuji hapo sawa. Hiyo ya kudundisha chini ni local sana
Ni kweli mchele upo, hata mayai ya plastiki yapo. Serikali yetu inakuwa na tabia za unafiki sana. Hawakuwa na sababu ya kutofanya uchunguzi. Kuna siku wao wenyewe wataununua tu maana hauko Tandale wala Tandikà, uko kwenye maduka wanayonunua waoIkumbukwe wiki kadhaa zimepita paliibuka uvumi wa uwepo wa mchele wa plastic hapa nchini unaosadikiwa kutoka nchini china. Lakini baada ya muda TFDA waliibuka na kusema hakuna kitu kama hicho hapa nchini.
Leo hii katika kipindi cha cha "leo tena" watangazaji wamesema huo mchele waliletewa jana na walifinyanga tonge na kuurusha chini na ulikua unadunda kabisa. Na mpaka naandika uzi huu wamesema huo mchele wanao hapo studio.
Source; Clouds Fm
My Take;
TFDA badala ya kukaa ofisini mnapulizwa kiyoyozi kwa nini msikimbie hapo mikocheni kwenye studio za clouds fm mkachukue sample yao mkaipime pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tonge la wali haliwezi kudunda kamwe...ukilitupa chini linasambaa ama linaseleleka na si kudunda kama mpira,Kujua kitu ni plastic au sio plastic ni kudundisha?