eeeh wewe tunapishanaga kwa mangoo itakuaMbeya 1800kg. Si bora kununua kwa Mango?
eeeh wewe tunapishanaga kwa mangoo itakuaMbeya 1800kg. Si bora kununua kwa Mango?
Kuna bei ya usafiri ndio,sample kwa picha utaweza kutofautisha maana pixels za camera na jicho ni too differentOuk ..na Dar kuna bei ya usafir au free delivery...nataka wakuuza ntauonaje weka sample
28,000/= wenye chenga mingi kwa biashara haufai huuMbeya Debe Kgs 20 Tshs 280000/-
Sawa usafir mpk kigambon huo wa 1450 gunia moja na huo mwingine gunia moja... Sh ngapKuna bei ya usafiri ndio,sample kwa picha utaweza kutofautisha maana pixels za camera na jicho ni too different
Sent using Jamii Forums mobile app
Kigamboni hapana,mzigo unashukia buguruni,mabibo au ubungo...Sawa usafir mpk kigambon huo wa 1450 gunia moja na huo mwingine gunia moja... Sh ngap
Kilo 100Kigamboni hapana,mzigo unashukia buguruni,mabibo au ubungo...
Gunia la debe ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
15,000 kwa gari za mizigo na 50000 kwa gar za abiria basiKilo 100
Duuuh sasa hapo hadi ufike moshi si inakuwa jumla elf 50? na umesema 20KG 29,000-33,000. bora bi mkubwa akanunue dukani tu38,000 hadi arusha, Kama unamtu arusha apokee then akutumie moshi.
Mchele kwa Sasa ni 30000 usafiri ni 8000 sehemu yeyote kwa kilo 20 Sema gari za moshi huku hakuna.Duuuh sasa hapo hadi ufike moshi si inakuwa jumla elf 50? na umesema 20KG 29,000-33,000. bora bi mkubwa akanunue dukani tu
Nataka mchele mwanza. Kg 30 kiasi gani?Mchele kwa Sasa ni 30000 usafiri ni 8000 sehemu yeyote kwa kilo 20 Sema gari za moshi huku hakuna.
Kila la kheri pia karibu sana.
Mkuu, kwa wastani mzigo unatumia siku ngapi mpaka kufika Mwanza? Mimi pia nahitaji kilogramu 30.54,000 pamoja na usafiri
Siku moja njiani, mfano mzigo ukiondoka Leo saa 12 asubuhi by saa 4-6usiku utakuwa umefika, wewe utaenda kukufuata kesho yake asubuhi au usiku huo huo ukiweza....Mkuu, kwa wastani mzigo unatumia siku ngapi mpaka kufika Mwanza? Mimi pia nahitaji kilogramu 30.
Shukrani, natumaini tutafanya biashara nzuri na sintojutia uamuzi wangu wa kununua bidhaa hiyo kutoka kwako Mkuu.Siku moja njiani, mfano mzigo ukiondoka Leo saa 12 asubuhi by saa 4-6usiku utakuwa umefika, wewe utaenda kukufuata kesho yake asubuhi au usiku huo huo ukiweza....