DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,313 Reaction score 109,381 Feb 9, 2024 #21 Huo Michele wako wa 6,000 toka mbeya kwa kilo unanini Cha ziada labda?
Apeche alolo JF-Expert Member Joined Apr 14, 2023 Posts 2,600 Reaction score 5,724 Feb 9, 2024 #22 Mjomba Fujo said: Ila kwa fluctuation ya currency na mfumuko wa bei, ipo siku tu mchele utafika 6000 per kg. Click to expand... ***** ntakula ntapika mahindi kwa viungo kama pilau.
Mjomba Fujo said: Ila kwa fluctuation ya currency na mfumuko wa bei, ipo siku tu mchele utafika 6000 per kg. Click to expand... ***** ntakula ntapika mahindi kwa viungo kama pilau.
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 13,733 Reaction score 27,094 Feb 9, 2024 #23 nafikiri ingesomeka MCHELE SUPER MZURI ZAIDI YA TANI SITA UNAUZWA
Mjuni Lwambo JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 11,719 Reaction score 13,423 Feb 9, 2024 #24 Eng. Zezudu said: Na mtaani unauzwa kwa 3500 huko zenji mpaka 4000 kwa kilo Click to expand... Shinyanga kilo 1800.
Eng. Zezudu said: Na mtaani unauzwa kwa 3500 huko zenji mpaka 4000 kwa kilo Click to expand... Shinyanga kilo 1800.
D donga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2017 Posts 2,560 Reaction score 5,234 Feb 9, 2024 #25 Kilo 6000 ni sawa na tani 6 Kwa makadilio haraka haraka km gunia la debe 10 gunia litakuwa na kilo 200kg Ambazo ni sawa na gunia km 30 hivi Mtoa mada unheweka kwa mtindo huu ingekuwa poa mtu akisikia kg 6000 anaweza kujua bonge la mzigo akaja na litandam kumbe mzigo wa canter
Kilo 6000 ni sawa na tani 6 Kwa makadilio haraka haraka km gunia la debe 10 gunia litakuwa na kilo 200kg Ambazo ni sawa na gunia km 30 hivi Mtoa mada unheweka kwa mtindo huu ingekuwa poa mtu akisikia kg 6000 anaweza kujua bonge la mzigo akaja na litandam kumbe mzigo wa canter