Mchele safi na supa kutoka Mbeya

Mchele safi na supa kutoka Mbeya

hii ni yenyewe mkuu ni asili haswa hata mchele ukishika mkononi utaona tu tofauti ni hii ya kisasa iliyovimba kabla ya kupikwa

Hapo umenikamata.

Eneo la biashara ni karibu na nini.?

Sitaki kupiga simu nataka nifike dukani Kama mteja ninunue kiasi changu nikajipikilishe ..😋
 
Ukipika ubwabwa tualikane Kasinde [emoji8]

Nikikualika ukuje na ile Nissan Nyeupe....

Nikuandalie na mboga gani..!??

Happy Belated Easter Watuuuuuu 😘.
 
Hapo umenikamata.

Eneo la biashara ni karibu na nini.?

Sitaki kupiga simu nataka nifike dukani Kama mteja ninunue kiasi changu nikajipikilishe ..[emoji39]
Ukifika Temeke kwa azizi ali karibu na soko la kabuma
 
Back
Top Bottom