Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 480
- 413
Ni wale wanaopenda mchele wa asili uliopandwa katika ardhi ya kitanzania mbegu ya asili ya mpunga iliyo oteshwa katika bonde safi lenye rutuba ya asili la magugu mkoani manyara.sasa ni mara nyingine baada ya kuwalimia nimewaletea mchele safi kwa bei safi na nafuu.
Mimi sio dalali na wala mali haijapitia katika mikono ya madalali.
Only serious buyer can PM me.
Mimi sio dalali na wala mali haijapitia katika mikono ya madalali.
Only serious buyer can PM me.