Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,145
- 4,292
Uo ni uongo masele hata kwenye maigizo anakunywa kabisa bia leo unasema hanywi?? hata Kwenye mizenywe vituko show alikuwa napiga kabisa ulabuHajawahi kuonja pombe katika historia ya maisha yake. Huwezi amini lakini habari ndio hiyo.
We mkimbizi, unashindwa kutambua majina ya kitanzania halisi yepi ya kike na ya kiume, kwenu Mwakyambange ni mwanamke?