Davidson simon
Member
- Jan 6, 2017
- 46
- 15
Hongera sana masele
We mkimbizi, unashindwa kutambua majina ya kitanzania halisi yepi ya kike na ya kiume, kwenu Mwakyambange ni mwanamke?Wivu tu.
Kisa hujaolewa
Huoni Mwanya wewe eenh!Mwanamke mzuri yuko wapi hapo?
We mkimbizi, unashindwa kutambua majina ya kitanzania halisi yepi ya kike na ya kiume, kwenu Mwakyambange ni mwanamke?
Acha uongo, masele anakunywa pombe, tena mi nilikuwa nakutana nae sana hapo forest pub nyuma ya shop plaza Kisiwani, na kinywaji alichokuwa na pendelea ni tusker, mi nimekaa nae meza mojahanywi pombe kabisa
Ameacha ngada?
Basi wakati mwingine fanya tafiti kisha ndio uchangieNdiyo
For what????????Basi wakati mwingine fanya tafiti kisha ndio uchangie
like thisFor what????????
Hii nayo mpya kwanguAmeacha ngada?
Ameipata sasaalikuwa na kazi ya kutafuta papuch
NialikeNa mimi nitaoa mwakani
Kwenye picha
bado mimiAmeipata sasa
Sorry for comming late.....nimeipenda hiyo picha yako balaa!.....is that really ..u....sorry kama nimekukwaza.....Uliza