Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,126
- 17,433
Apumzike salama huko aliko.Kijana Frank Patrick (Mchekeshaji wa Mtandaoni) maarufu Kama Molingo (17) Mkazi wa Wilaya ya Chato Mkoani Geita amefariki dunia usiku wa kuamkia leo December 10,2024 akiwa nyumbani kwao Chato ambako alikuwa akiuguzwa na Mama yake mzazi.
Rafiki yake ambaye alikuwa akiishi nae na kumrekodi vichekesho vyake Mudi Msomali ameiambia Ayo TV kuwa Molingo alikuwa anaugua mara kwa mara na chanzo cha ugonjwa bado hakijajulikana huku akisema muda mwingine alikuwa anavimba mwili na kuishiwa damu Mwilini.
"Molingo Bwana alikuwa anaumwa maradhi hayaeleweki kila wanachopima hawaoni kitu kwahiyo ndio hivyo mara ya kwanza walihisi labda ni Sickle cel (selimundu) walipima akawa yuko sawa wakawa wanahisi bandama mara moyo yaani kiufupi anarudi kwao hatukujua shida hasa ni nini"
"Madaktari walishauri mpelekeni kwao kwahiyo nahisi walikuwa wameshaona ila Mimi tu kama Mtu mzima nilijiongeza nikamwambia Anna itakuwa labda wameona mbali wanashauri mumrudishe kwao kwahiyo ndio hivyo alikuwa anavimba tuu mwili anaishiwa damu mara kwa mara"
View attachment 3173507
R.I .P gentlemanKijana Frank Patrick (Mchekeshaji wa Mtandaoni) maarufu Kama Molingo (17) Mkazi wa Wilaya ya Chato Mkoani Geita amefariki dunia usiku wa kuamkia leo December 10,2024 akiwa nyumbani kwao Chato ambako alikuwa akiuguzwa na Mama yake mzazi.
Rafiki yake ambaye alikuwa akiishi nae na kumrekodi vichekesho vyake Mudi Msomali ameiambia Ayo TV kuwa Molingo alikuwa anaugua mara kwa mara na chanzo cha ugonjwa bado hakijajulikana huku akisema muda mwingine alikuwa anavimba mwili na kuishiwa damu Mwilini.
"Molingo Bwana alikuwa anaumwa maradhi hayaeleweki kila wanachopima hawaoni kitu kwahiyo ndio hivyo mara ya kwanza walihisi labda ni Sickle cel (selimundu) walipima akawa yuko sawa wakawa wanahisi bandama mara moyo yaani kiufupi anarudi kwao hatukujua shida hasa ni nini"
"Madaktari walishauri mpelekeni kwao kwahiyo nahisi walikuwa wameshaona ila Mimi tu kama Mtu mzima nilijiongeza nikamwambia Anna itakuwa labda wameona mbali wanashauri mumrudishe kwao kwahiyo ndio hivyo alikuwa anavimba tuu mwili anaishiwa damu mara kwa mara"
Apumzikeje wakati hata hapumui wala kula vinono?Apumzike salama huko aliko.
Mshangazi kuwa na akiba ya maneno hujafa hujaumbika.Ahh!! Kumbe ni Chato!
Kawaida yao.
Anaenda kuzaliwa kwingine hivyo namtakia maisha mema kule anakoenda kuzaliwa.Apumzikeje wakati hata hapumui wala kula vinono?
Dua yako iwe na kheri ndani yake.Aiiimeen!🙏Anaenda kuzaliwa kwingine hivyo namtakia maisha mema kule anakoenda kuzaliwa.
AimeenDua yako iwe na kheri ndani yake.Aiiimeen!🙏
Unahisi kauli yako imechekesha sanaAhh!! Kumbe ni Chato!
Kawaida yao.
Mshangazi kuwa na akiba ya maneno hujafa hujaumbika.
Kama ni hivyo basi njooSOTE NI MAITI TU
Ujifanye una adabu au baradhuli wote ni maiti tu.
Live your life