Mchekeshaji Eric Omondi awashauri wasanii wa Tanzania kusimama na wananchi rais ni wa muda tu

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Mchekeshaji maarufu kutoka Kenya, Erick Omondi amewashauri wasanii wa Tanzania kusimama na wananchi akiwasihi kwamba hawa marais wanapita tu pindi muda wao kukaa katika hizo nyadhifa unapoisha

Pia amewashauri kusimama kama sauti ya wananchi dhidi ya ukiuwaji haki akiwakumbusha kutumia akili miaka mitano ya Rais Samia itaisha na watabaki na wananchi

Attachments

  • 1e388e1e2372750a014e00260c3e8ca1_1764764643670.mp4
    5.2 MB
Mchekeshaji maarufu kutoka Kenya, Erick Omondi amewashauri wasanii wa Tanzania kusimama na wananchi akiwasihi kwamba hawa marais wanapita tu pindi muda wao kukaa katika hizo nyadhifa unapoisha

Pia amewashauri kusimama kama sauti ya wananchi dhidi ya ukiuwaji haki akiwakumbusha kutumia akili miaka mitano ya Rais Samia itaisha na watabaki na wananchi

Wasani wa bongo....hahaha
 
Atembeze matraco yake mbele huko, amekosa ugali nchini kwake anakuja kujaribu kutushawishi sisi.
 
Wakale ccm na polisi, humu tanganyika watakimbia mpaka wavunjike miguu humu.

Na wanaojiita waandishi wa habari hasa msinunue vijigazeti vyao wala msisikilize vi online tv vyao waelewe watanganyika siyo wajinga.
 
La msingi kuliko yote kwanini msanii unatakiwa usimame na wananchi ni kwa sababu wananchi ndio wanaokuweka mjini ndio wateja wako ndio wao wamekufikisha hapo.
 
Ushauri mzuri ,ila hapo kwenye miaka mitano ya Samia kuwa itaisha ni uongo,hatoboi Samia ,lasivyo uchumi wa nchi yetu utashuka sana Tena sana,simuoni Samia akiwa rais tena
Ujumbe utakuwa umekupita, ameisema hiyo kama vile mtu anaposema kitu huku akikonyeza jicho.

The intended message is completely opposite to what he actually said
 
Nani kakwambia amekosa ugali? Yupo vizur kabisa na yeye huko kwao anasimama na wananchi mara kwa mara

Lakini pia mbona wasanii wa bongo kama wamepotea? Wananchi hawawamini tena
Kwa sasa wasanii wote ni kama jalala tu hawana cha maana tena.
 
Back
Top Bottom