wasanii wa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania Upepo wa Amapiano Tanzania umekata? Wasanii kwanini hawatoi tena ngoma za Amapiano?

    Nauliza tu maana miaka 2 nyuma ilikuwa kila msanii wa Tanzania alikuwa anatoa ngoma ya Amapiano lakini siku hizi naona upepo umekata kabisa Soma Pia: Spotify yatangaza ngoma na wasanii wa Tanzania waliosikilizwa zaidi mwaka 2024. Marioo ashika usukani! Marioo – Mama Amina (ft. Sho Madjozi &...
  2. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Damas Ndumbaro: Wasanii wa Tanzania hawajavunja sheria kwa kuuza kazi zao au kushiriki katika kampeni za CCM

    Damas Ndumbaro: Kazi ya Sanaa ni haki ya msingi ya binadamu, kama inavyotambuliwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 18 (a). Vilevile, sanaa ni ajira na biashara halali. Wasanii wa Tanzania hawajavunja sheria kwa kuuza kazi zao au kushiriki katika kampeni za Uchaguzi Mkuu...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nawashangaa sana wasaniii Watanzania

    Ni hivi wakati wa kampeni mliowengi kama 95% mlichagua upande wa kisiasa na mkatoa maneno ya kubeza kwa wapinZani mkasema chama chenu kina watu wengi na kina nguvu wapinzan n wachache sasa leo mnalalamika hakuna show hata streaming kwenye hizo platforms zenu kama.youtube watu n wachache...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mchekeshaji Eric Omondi awashauri wasanii wa Tanzania kusimama na wananchi rais ni wa muda tu

    Mchekeshaji maarufu kutoka Kenya, Erick Omondi amewashauri wasanii wa Tanzania kusimama na wananchi akiwasihi kwamba hawa marais wanapita tu pindi muda wao kukaa katika hizo nyadhifa unapoisha Pia amewashauri kusimama kama sauti ya wananchi dhidi ya ukiuwaji haki akiwakumbusha kutumia akili...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasanii wa Tanzania wanapitia wakati mgumu sana, wameahirisha show za ndani, nyimbo zimedoda mitandaoni

    Wakuu Nimekutana na video hizi mbili za watangazaji wenye nguvu ya ushawishi kwenye upande wa burudani hapa Tanzania, wakieleza hali ngumu wanayoipitia wasanii wa Tanzania hadi kufikia hatua ya ku-cancel show za ndani, kuahirisha kutoa albamu, na hata nyimbo zao walizotoa zimedoda huko...
  6. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Raia wa Kenya: Nashangaa JWTZ na wasanii wa Tanzania raia wameuawa lakini mpo kimya, mmewaangusha wananchi

    Kwa umoja ambao wananchi wa Kenya wamekuwa wakionyesha kukemea mauaji na udikteta wa Samia unazidi kuleta matumaini kwetu watanzania Jeshi la wananchi Tanzania limewaangusha wananchi, raia wameuawa lakini wapo kimya wanaendeleza harakati za Samia, wameiapisha serikali haramu kuwa halali na...
  7. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Angélique Kidjo: Baba alinishauri nisiandike nyimbo kwa ajili ya vyama vya siasa kwa sababu ni vya mpito tu

    Ushauri aliopewa na baba yake. Angélique Kidjo ni mwanamuziki kutoka nchini Benin na mshindi wa Grammy Awards 5. Wasanii wa Tanzania amkeni usingizini, wenzenu hapo Kenya wameshawapita mbaali kimuziki kwa sababu ya kuendekeza siasa badala ya kujikita kwenye mambo ya msingi!
  8. Hidden Diamond

    JamiiForums Tanzania Bongo Fleva ya miaka ya 2000 mpaka 2009 hatuna deni nayo maana si kwa Wasanii hawa

    Daah! Miaka ya elfu mbili muziki ulitendewa haki kweli jamani. Cheki list ya vipaji hivyo – yaani mtaani kulikuwa hakupoi: Juma Nature Q Chillah Ferouz Lady Jay Dee Professor Jay Ngwear Jay Moe Chege Dully Sykes Ray C Stara Thomas T.I.D Mr Blue Fid Q Afande Sele Mandojo & Domo Kaya Banana Zorro...
Back
Top Bottom