Mchechu, kama umeshindwa kazi utoke

Mchechu, kama umeshindwa kazi utoke

anatumia pesa nyingi kuwalipa wabunge ili wamtetee bungeni lakini hamna chochote kama kujifunza angeondoka na wataalamu wa ardhi au wanafunzi wa uhandisi hivi ndivyo namna wabunge wanavyotafuna pesa na kushindwa kusimamia mashirika ya umma angalia makampuni binafsi yanavyojenga majengo halafu linganisha na nyumba za nhc

hapa ndo namkubali muhongo yeye alikuwa anafatana na wahandisi wa TPDC na maofisa wa wizara, tizama bodi ya tanesco kaweka wataalamu watupu akina olesendeka tupa nje,
 
Speaking of unfinished business,after conspiring against Maige,Kagasheki,Tibaijuka and Muhongo now you're after Mchechu head.Sadly you're satisfied with incompetency of such officials as Saada Mkuya,Pinda,Kawambwa, Malima,Kombani and the list goes on...oh yeah it's Tanzania's mentality whereby the hardwory,visionary and ethical people are being hated to death!

Kuongea kingereza ndo nini sasa? hebu nikuulize mchechu keshapewa dola billioni moja ya salama creek tangu mwaka jana hadi leo mkandarasi hajafika site na sidhani kama alishapatikana, yeye kupiga mapicha tu kama diamond. tulilalamika hivihivi juu ya Mataka na ATC tukaambiwa tuna wivu wa kike, leo pesa ya kununua dawa na madawati tunalipia deni la ndege mbovu,
 
JK kakubeba kwa mbeleko hadi china kakutafutia mkopo wa dola billioni, ili uje utujengee nyumba sasa badala ya kujenga umeanza semina elekezi na akina lembeli, ulikuwa hongkong juzi africa ya kusini mala doha sasa mko brunei sijui Qater, hao akina lembeli ubunge ulishakwisha huko kote unafanyanao nini? nilitegemea kukuona una sign mikataba na wakandarasi kuanza ujenzi maramoja.

Kiwanja kawe ulishapewa, fedha unazo, michoro unayo sasa tatizo liko wapi? kama huwezi kudeliver utoke waje wenye huo uwezo. Sasa nakubaliana na Zitto kuwa uwezo wako wa kazi ni mdogo, leo nimeona ITV mko sijui nchi gani huko uarabuni haya munashangaa magorofa tu hamkuwa na mwenyeji hata mmoja, kujifunza gani bila kupata maelezo kutoka kwa mwenyeji.

Mnyoge Mnyongeni lakini haki yake mpeni...Bw. Eddy ana kila dalili za kuwa mhanga wa uchapakazi bora wa Bw. Msechu, uliodhibiti ubadhirifu na kuifanya NHC kuwa kama shamba la bibi.
.
 
Nitake radhi, mie sijawahi ajiriwa ila naumia mno nikienda nchi za watu nakuta watu wanamakazi mazuri wakati huku ndo kwanza watu wanasongamana milimani,
 
Maelezo waliyokuwa kuwa wanapewa hata kijana wa semester mbili pale ardhi university anaweza haina haja ya kutumia gharama kubwa.
Yameshachoka kufikiri
 
Sijawahi kumkunali mchechu hata siku moja.
 
Kuongea kingereza ndo nini sasa? hebu nikuulize mchechu keshapewa dola billioni moja ya salama creek tangu mwaka jana hadi leo mkandarasi hajafika site na sidhani kama alishapatikana, yeye kupiga mapicha tu kama diamond. tulilalamika hivihivi juu ya Mataka na ATC tukaambiwa tuna wivu wa kike, leo pesa ya kununua dawa na madawati tunalipia deni la ndege mbovu,
Bana eeh,mtajijua wenyewe na liCCM lenu,msinisumbue hapa!
 
Ulisha wai ona wakizunguka namna hii wakiwa na Tibaijuka, kwenda kwenye ziara za mafunzo. Sana sana ziara wakati wa tibaijuka zilikuwa kutafuta fursa za uwekezaji tu. Hivi kuna sababu gani ya kuchagua CEO halafu azunguke tena kufanya mafunzo ni skills zipi tuliangalia kabla ya kumteua leo watuambie wanaenda ziara za mafunzo. Hivi vitu vina make sense ndani ya Tanzania tu.

Halafu mbona awaweki tena financial report mpya it is 2015 hiko wapi report ya 2014?

Huyu jamaa kilicho msaidia ni ongezeko la kodi ya adhabu kwa wapangaji tu, lakini hakuna creativity kodi ndio kidogo ina msaidia kwa sasa kuonyesha shirika lina faida, new valuation ya assets zao, na assets ambazo bado awajauza; lakini miradi ni bomu kama alivyo CEO.

Nyumba zao za kule dodoma jimbo la Ndugai raisi kaishia kudai halmashauri wazinunue. Sasa sijui halamashauri gani inayo miliki viwanja kama ina nia ya kukopa which will be cheaper for them kukopa kujenga au kukopa kununua NHC?

Paka akitoka panya utawala mshahara wa millioni 32 atapata na safari za wizara sijui kamati zitakuwepo kama hongo kwa tanzania maana yake business as usual, tunatabia ya kufuata mkumbo wa watu wabaya na kufukuza mawaziri walau wenye uthubutu, majungu mpaka mama wa watu kaondolewa.
 
nakwambia hapo hakuna mtu. Toka yule mama msomi prof. Anna tibaijuka atoka katika wizara hiyo hakuna kinachoendelea tofauti na wizi mtupu
ccm haitaki wasomi hata kidodo haifai kuiongoza nchi kama wasomi wanaokubalika kimataifa wao wanawatosa na kuwadhalilisha basi ni dhahiri kuwa ccm haitaki wasomi wazuri km prof. Anna tibaijuka na prof. Muhongo ambao sisi watanzania tunawaitaji na kuwalilia mpaka kesho

Wewe ni ng'ombe maksai punguani kabisa
 
Kuongea kingereza ndo nini sasa? hebu nikuulize mchechu keshapewa dola billioni moja ya salama creek tangu mwaka jana hadi leo mkandarasi hajafika site na sidhani kama alishapatikana, yeye kupiga mapicha tu kama diamond. tulilalamika hivihivi juu ya Mataka na ATC tukaambiwa tuna wivu wa kike, leo pesa ya kununua dawa na madawati tunalipia deni la ndege mbovu,

We kima unataka apewe hela leo afu kesho watu waanze kuchimba msingi...unadhani kujenga hiyo S.City ni sawa kama ulivyokurupushwa usingizini na mkewako keshoyake ukaanza kujenga hiko kibandachako kule Goba?
 
Ulisha wai ona wakizunguka namna hii wakiwa na Tibaijuka, kwenda kwenye ziara za mafunzo. Sana sana ziara wakati wa tibaijuka zilikuwa kutafuta fursa za uwekezaji tu. Hivi kuna sababu gani ya kuchagua CEO halafu azunguke tena kufanya mafunzo ni skills zipi tuliangalia kabla ya kumteua leo watuambie wanaenda ziara za mafunzo. Hivi vitu vina make sense ndani ya Tanzania tu.

Halafu mbona awaweki tena financial report mpya it is 2015 hiko wapi report ya 2014?

Huyu jamaa kilicho msaidia ni ongezeko la kodi ya adhabu kwa wapangaji tu, lakini hakuna creativity kodi ndio kidogo ina msaidia kwa sasa kuonyesha shirika lina faida, new valuation ya assets zao, na assets ambazo bado awajauza; lakini miradi ni bomu kama alivyo CEO.

Nyumba zao za kule dodoma jimbo la Ndugai raisi kaishia kudai halmashauri wazinunue. Sasa sijui halamashauri gani inayo miliki viwanja kama ina nia ya kukopa which will be cheaper for them kukopa kujenga au kukopa kununua NHC?

Paka akitoka panya utawala mshahara wa millioni 32 atapata na safari za wizara sijui kamati zitakuwepo kama hongo kwa tanzania maana yake business as usual, tunatabia ya kufuata mkumbo wa watu wabaya na kufukuza mawaziri walau wenye uthubutu, majungu mpaka mama wa watu kaondolewa.

Tunamlipa mtu mil 32 kwa mwezi hata ujuzi hana ndo kwanza anajifunza! hii ipo Tanzania tu.
 
We kima unataka apewe hela leo afu kesho watu waanze kuchimba msingi...unadhani kujenga hiyo S.City ni sawa kama ulivyokurupushwa usingizini na mkewako keshoyake ukaanza kujenga hiko kibandachako kule Goba?

Ishi, mbona Dr.Dau anajenga daraja bila hata hizo semina elekezi, halafu wewe ndo bure kabisa mbona Muhongo kakopa pesa na akaanza kujenga bomba la gas immediately,
 
Nitake radhi, mie sijawahi ajiriwa ila naumia mno nikienda nchi za watu nakuta watu wanamakazi mazuri wakati huku ndo kwanza watu wanasongamana milimani,

Na appreciate sentiments zako...lakini ulipaswa kujua historia japo kwa ufupi NHC aliyoikuta msechu, ilivyo sasa wakati wake na mikakati yake ya kuiboresha zaidi. Kwa taarifa yako ni kuwa aliikuta ikiwa ni mfu. Na ilikuwa ni kijiwe cha mwendawazimu ambako kila mtu mwenye bakuli alijichotea kwa raha zake huku wenzetu wa asili ya asia wakijikalia kwa bei chee bila bughuza!
Pole kama umekinaika kwa kauli yangu. Maendeleo ni hatua na thanks at least Msechu ameanzisha mwendo mzuri!
 
Tunamlipa mtu mil 32 kwa mwezi hata ujuzi hana ndo kwanza anajifunza! hii ipo Tanzania tu.
duuh! Ina maana tayari keshajiongezea waziri mpya kakubali. Haya embu walete statement ya mwaka Jana tuone value aliyo ongeza zaidi ya ku renew mkataba kwa kodi mpya vinginevyo watu proof wrong jamaa amepeleka mawazo mapya Na yanayo saidia jamii katika sector ya nyumba zaidi ya mikakati yenye maslahi kwa wasafisha hela Na mabenki.

Umewahi kuona wapi shirika la nyumba la serikari linajivunia kuuza nyumba kumi za makazi kwa mtu mmoja clearly Ni uwanja wa kusafisha hela chafu Na nje ya malengo ya shirika la umma kwenye nchi ambayo wengi Ni wapangaji.
 
Ishi, mbona Dr.Dau anajenga daraja bila hata hizo semina elekezi, halafu wewe ndo bure kabisa mbona Muhongo kakopa pesa na akaanza kujenga bomba la gas immediately,

Nyie mliopata kazi kwa vimemo mna matatizo sana.
Hamjui mbele wala nyuma ya hayo unayoyaongelea, vidigrii mlivyopata baada ya kuiba mitihani ndo mnajidai navyo JF.
 
Nilikuwa nataka nikujibu kuhusu huu utumbo wako ulioandika nikadhani unamzungumzia NEHEMIA MCHECHU one of very young CEO whose brain ni so bright....kumbe unamzungumzia MSECHU....basi wanaomjua watakuja kumtetea kama at all an exist.
 
Nyie mliopata kazi kwa vimemo mna matatizo sana.
Hamjui mbele wala nyuma ya hayo unayoyaongelea, vidigrii mlivyopata baada ya kuiba mitihani ndo mnajidai navyo JF.
tupe takwimu ya nyumba zilizo nunuliwa Na raia mmoja mmoja Na nyumba zilizouzwa kupitia mortage tuone Kama kweli wanunuzi Ni akina sie halafu utupe Na takwimu za nyumba zilizo uzwa kwa mafungu and paid in cash.
 
Huyu jamaa huwa naona ana maneno mengi tu vitendo hakuna, mi nawakubali NSSF hakuna hadithi hadithi kama miradi wanapiga, kazi za NSSF zinaonekana na yale mashirika mengine ya hifadhi za jamii... Ni kweli kama jamaa ameshindwa kazi apishe watu wenye uwezo...

Mkuu hiyo tag line yako hitendei haki...ukipata mtu anayejua mambo ya actuarial anaweza kukusaidia kupata uelewa uone NSSF inavyochemka kwa kuwekewa kwenye investments ambazi si viable na ujue asset base ya NHC against mikopo iliyonayo na plans ilizonazo ndo uje kuharishia mdomoni humu
 
JK kakubeba kwa mbeleko hadi china kakutafutia mkopo wa dola billioni, ili uje utujengee nyumba sasa badala ya kujenga umeanza semina elekezi na akina lembeli, ulikuwa hongkong juzi africa ya kusini mala doha sasa mko brunei sijui Qater, hao akina lembeli ubunge ulishakwisha huko kote unafanyanao nini? nilitegemea kukuona una sign mikataba na wakandarasi kuanza ujenzi maramoja.

Kiwanja kawe ulishapewa, fedha unazo, michoro unayo sasa tatizo liko wapi? kama huwezi kudeliver utoke waje wenye huo uwezo. Sasa nakubaliana na Zitto kuwa uwezo wako wa kazi ni mdogo, leo nimeona ITV mko sijui nchi gani huko uarabuni haya munashangaa magorofa tu hamkuwa na mwenyeji hata mmoja, kujifunza gani bila kupata maelezo kutoka kwa mwenyeji.
Fanya kazi kijana, utaalam wa majungu haukuongezei kipatao wala maendeleo.
Sana sana unajaza chuki na fitina kazini.
Siye tunalifahamu hilo shirika lilikotoka na lilipo sasa hivi.
Inaelekea wewe tatizo lako ni elimu ndogo sana ya kufikiria ya mbele.
 
tupe takwimu ya nyumba zilizo nunuliwa Na raia mmoja mmoja Na nyumba zilizouzwa kupitia mortage tuone Kama kweli wanunuzi Ni akina sie halafu utupe Na takwimu za nyumba zilizo uzwa kwa mafungu and paid in cash.
Wale wale wa vidirii vya mitaani, hata unachotaka kueleweshwa hujui kujieleza.
Kama umesikia nyumba zinaoza tujulishe leo, kama huna uwezo wa kununua wengine wapo!!
Wewe ni yule yule kwa ID nyingine.
 
Back
Top Bottom