hey listen, kwa viwango vya Tanzania utaonekana kichaa kumkosoa Msechu sijui Mchechu, I mean at the moment Msechu is the single most popular CEO in the country, again kwa viwango vyetu vya kibongo. Lakini kwa viwango vya kimataifa Msechu hawezi kuachwa kuwa hata super (msimamizi mbeba mafunguo wa apartment building) la jengo la unit kumi na tano, angeshafukuzwa.
But then again, the ilk of Nehemiah Msechu is the crème de la crème of the country, hatuna watu, work ethics and standards zetu ni ndogo sana kwa hiyo Watanzania wanashukuru kuwa na huyu.