Mchechu, kama umeshindwa kazi utoke

Mchechu, kama umeshindwa kazi utoke

Wale wale wa vidirii vya mitaani, hata unachotaka kueleweshwa hujui kujieleza.
Kama umesikia nyumba zinaoza tujulishe leo, kama huna uwezo wa kununua wengine wapo!!
Wewe ni yule yule kwa ID nyingine.
mipasho peleka kwenye kumbi za taarabu, wewe umeenda shule njoo Na facts sio upambe usio Na kichwa wala miguu. Sasa hapo shule yako hiko wapi kwa upuuzi ulioandika.
 
Kitu ambacho hukijui ni kwamba NHC kuonekana walau inafanya kazi ni kwa sababu ya mama Tiba

Mama Tiba alikua na mtazamo mpana na kuona mambo nje ya box...exposure yake ilimsaidia

Bila Tibaijuka sasa subiri uone yatakayotokea NHC.

Yule mama pamoja na madhaifu yake lakini ni mchapa kazi

Mkuu NHC ilisimama kabla hata ya Tiba baada ya kuishika Mchechu. Yanayoendelea humu na vijembe anavyopigwa Mchechu ni sawa na mti wenye matunda...
Tunaacha kuwapigia kelele wakurugenzi wa mashirika kama ATC na Reli ili tusonge tunapiga majungu kwa mashirika yaliyosimama. Mleta mada weka data hapa NHC kabla na baada ya Mchechu. Je angekuwa CEO Mburura angepewa sapoti? Mbona ATC ilikabidhiwa mabilioni zaidi ya NHC lakini inazidi kufa tu... Kwenye ukweli tuseme ukweli
 
mipasho peleka kwenye kumbi za taarabu, wewe umeenda shule njoo Na facts sio upambe usio Na kichwa wala miguu. Sasa hapo shule yako hiko wapi kwa upuuzi ulioandika.
Imekula kwako!!!
Sasa unataka facts wakati thread uliyoanzisha haina mbele wala nyuma.
Shule nzuri kijana.
 
Mkuu NHC ilisimama kabla hata ya Tiba baada ya kuishika Mchechu. Yanayoendelea humu na vijembe anavyopigwa Mchechu ni sawa na mti wenye matunda...
Tunaacha kuwapigia kelele wakurugenzi wa mashirika kama ATC na Reli ili tusonge tunapiga majungu kwa mashirika yaliyosimama. Mleta mada weka data hapa NHC kabla na baada ya Mchechu. Je angekuwa CEO Mburura angepewa sapoti? Mbona ATC ilikabidhiwa mabilioni zaidi ya NHC lakini inazidi kufa tu... Kwenye ukweli tuseme ukweli

Mchechu ameingia NHC lINI?
Na Performance yake kabla ya Tiba ilikuaje?
Tiba ameingia lini wizarani?
Na performance ya NHC imekuaje baada ya Tiba kuingia?
Performance ya NHC ikoje kwa sasa NHC Baada ya Tiba kuondoka?
Kwa shirika kama NHC mkurugenzi yeyote average akipewa na asipoiba sana lazima lionekane lina perform tu
 
tatizo waswahili hatuna shukrani , kwani hii nhc si ilikuwepo miaka yote na sasa hivi ndio imeanza kubadilika , tuwe serious jamaa anafanya kazi hayo majengo ya kawe tayari ni kuanza utekelezaji tu , zile hela za china tayari project itaanza , sasa unataka asitembee kutafuta uwekezaji mwingine , tungekuwa na ma ceo kama hawa 10 mashirika ya umma yangefanya vizuri
 
Mungu amtangulie wa kunyumba! kazi inaonekana,NHC ilikuwa imekufa kaja MSECHU kafanya kazi ya kufufua.nakuombea uzidi tena na tena.
 
Imekula kwako!!!
Sasa unataka facts wakati thread uliyoanzisha haina mbele wala nyuma.
Shule nzuri kijana.
unaposifia shule unatakiwa pia kujibu kishule njoo Na facts tukupeleke shule mbona unakimbia hoja nyepesi Ni wepi wengi kati ya wanunuzi wa bulk and single apartments? Na nehemia kaongeza value ya shirika vipi zaidi kokotezo mpya Na revaluation of the assets.

Mbona swali jepesi Sana tuko kwenye kadamnasi wataamua shule hipo wapi mwishowe acha uoga mwaga shule.
 
lobbying? watu wenyewe ubunge unaondoka kesho kutwa. wana faida gani ya kwenda huko?

Hii nchi kila kitu kinawezekana..hapo usiulize nani kagharamia hiyo safari,natumaini sio sehemu ya hiyo mikopo anayopewa.. na huo msafara una watu wanaosifika kwa kukataa ufisadi wakati visafari wakipewa wanaenda kimya kimya.Kweli kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake..
 
Jana kuna mfanyakazi mmoja wa NHC upande wa mauzo kajinadi kwenye taarifa ya habari ITV kuwa wanajenga satelite city ili kuwasaidia wale watakaokuwa wanaishi humo waweze kupata huduma zote karibukaribu .. yaani nyumba ya kulala ,maofisi viwanja,kumbi za burudani zote ndani ya eneo moja,kwaiyo unaamka unaenda ofisini,unaingia gym,unapata kilaji ndani ya eneo moja kama ambavyo wale wenzetu wa migodini wanavyoishi..nikabaki najiuliza uhalisia wa hii miradi na kama hawa wenzetu wananuia hiyo miradi inufaishe watu wa aina gani...? tusubiri tuone...
 
Mchechu ameingia NHC lINI?
Na Performance yake kabla ya Tiba ilikuaje?
Tiba ameingia lini wizarani?
Na performance ya NHC imekuaje baada ya Tiba kuingia?
Performance ya NHC ikoje kwa sasa NHC Baada ya Tiba kuondoka?
Kwa shirika kama NHC mkurugenzi yeyote average akipewa na asipoiba sana lazima lionekane lina perform tu

Mchechu amekuwa CEO March 2010 wakati huo shirika likiwa hoi na aliyekuwa waziri wa Ardhi kipindi kile aliweka mikakati ya kuajiri CEO mpya kwa nia ya kuijenga upya NHC. Kazi za kwanza za Mchechu ilikuwa ni kutoa vizee vyote vilivyochoka na kuweka timu wa ushindi. Kazi kubwa ilifanyika miezi 8 ya kwanza na ni kipindi hicho Mchechu alifahamika sana. Baadhi ya haters walishukuru sana kuona Tiba anakuwa waziri mwezi November 2010 wakidhani angesaidia kumng'oa lakini Tiba akasimika na kuendelea kumsifia na kutoa sapoti kwa hatua aliyoikuta. Mpaka hapo unaweza kuendelea mwenyewe
 
Mchechu ana lipwa milioni 32 kwa mwezi kwa kazi ipi???? Nchi ya watu wajinga hii
 
Jana kuna mfanyakazi mmoja wa NHC upande wa mauzo kajinadi kwenye taarifa ya habari ITV kuwa wanajenga satelite city ili kuwasaidia wale watakaokuwa wanaishi humo waweze kupata huduma zote karibukaribu .. yaani nyumba ya kulala ,maofisi viwanja,kumbi za burudani zote ndani ya eneo moja,kwaiyo unaamka unaenda ofisini,unaingia gym,unapata kilaji ndani ya eneo moja kama ambavyo wale wenzetu wa migodini wanavyoishi..nikabaki najiuliza uhalisia wa hii miradi na kama hawa wenzetu wananuia hiyo miradi inufaishe watu wa aina gani...? tusubiri tuone...

Ujinga mtupu unaofanyika,badala ya kujenga nyumba za kutosha kukabiliana na tatizo la nyumba wanaenda kujenga satelite city! Mtanzania wa kawaida ataweza kuishi humo???? Upuuuiiizi
 
Mchechu ana lipwa milioni 32 kwa mwezi kwa kazi ipi???? Nchi ya watu wajinga hii

Angalia aise usijetukana wakunga. Kama umeweza kupata takwimu ya mshahara vivyohivyo hushindwi kupata mapato na matumizi ya NHC na kiasi kinacholiingizia taifa. Ukishamaliza kukokotoa hoja yako itajadilika vizuri.
Halafu ukiwekewa mishahara ya ma-CEO wengine watanzania hiyo 32m ni cha mtoto, hata hilo neno "wajinga" utatafuta kubwa lake
 
​Bongo ni zaidi ya uijuavyo

Mkuu nifundishe na mimi jinsi ya kuseti auto posting...

Anyway hili swala a ziara za kujifunza nje linawagharimu watanzania kodi nyingi sana..Ni kweli kuna umuhimu wa watendaji wetu kupata exposure ili kuboresha thinking yao...ila naona kama sasa travel allowances zimekuwa ndo main source of income kwao.
 
JK kakubeba kwa mbeleko hadi china kakutafutia mkopo wa dola billioni, ili uje utujengee nyumba sasa badala ya kujenga umeanza semina elekezi na akina lembeli, ulikuwa hongkong juzi africa ya kusini mala doha sasa mko brunei sijui Qater, hao akina lembeli ubunge ulishakwisha huko kote unafanyanao nini? nilitegemea kukuona una sign mikataba na wakandarasi kuanza ujenzi maramoja.

Kiwanja kawe ulishapewa, fedha unazo, michoro unayo sasa tatizo liko wapi? kama huwezi kudeliver utoke waje wenye huo uwezo. Sasa nakubaliana na Zitto kuwa uwezo wako wa kazi ni mdogo, leo nimeona ITV mko sijui nchi gani huko uarabuni haya munashangaa magorofa tu hamkuwa na mwenyeji hata mmoja, kujifunza gani bila kupata maelezo kutoka kwa mwenyeji.

Wivu mwingine haina hata mwelekeo! Hivi ni Mkurugenzi yupi wa shirika hili ambaye amefanya haya yanayofanuwa na Huyu jamaa? Tungekuwa na watu wenye maono Kama yeye kiongozi shirika hili tangu tupate uhuru Hakika tusingekuwa na Meiji na majiji yanayokua bila mpangilio kama ilivyo sasa. Mnaanza kumpiga majungu ili mkewe nyie muendelee kukwapu.
 
unaposifia shule unatakiwa pia kujibu kishule njoo Na facts tukupeleke shule mbona unakimbia hoja nyepesi Ni wepi wengi kati ya wanunuzi wa bulk and single apartments? Na nehemia kaongeza value ya shirika vipi zaidi kokotezo mpya Na revaluation of the assets.

Mbona swali jepesi Sana tuko kwenye kadamnasi wataamua shule hipo wapi mwishowe acha uoga mwaga shule.
Nyie watu mna IQ ndogo sana.
Maweka allegations bila ysafacts , mkiwa challenged mnataka facts
Logic iko wapi!!!!
 
Mchechu amekuwa CEO March 2010 wakati huo shirika likiwa hoi na aliyekuwa waziri wa Ardhi kipindi kile aliweka mikakati ya kuajiri CEO mpya kwa nia ya kuijenga upya NHC. Kazi za kwanza za Mchechu ilikuwa ni kutoa vizee vyote vilivyochoka na kuweka timu wa ushindi. Kazi kubwa ilifanyika miezi 8 ya kwanza na ni kipindi hicho Mchechu alifahamika sana. Baadhi ya haters walishukuru sana kuona Tiba anakuwa waziri mwezi November 2010 wakidhani angesaidia kumng'oa lakini Tiba akasimika na kuendelea kumsifia na kutoa sapoti kwa hatua aliyoikuta. Mpaka hapo unaweza kuendelea mwenyewe

Nikusaidie kidogo reforms za NHC zilianza siku nyingi, kumbuka sekta ya nyumba ilikuwa na THB NHC Msajili wa majumba na Nyumba za serikali chini ya ujenzi.

Reforms ya kwanza ilikuwa kudisolve THB iliyoonekana haifanyi vizuri, hili lilikuwa shirika la mwanzo kabisa kuchinjwa. Badae ikaja kuunganisha NHC na Msajili wa majumba na kuunda shirika moja la nyumba NHC. wakati ule fedha zote zilizokusanywa zilienda hazina kwenye general fund na badae NHC waliomba ruzuku kutoka serikalini.

Baada ya Magufuli kwenda wizara ya ardhi alibadili mfumo wa uendeshaji wa shirika hili kwa kulibadili na kuwa shirika linalojitegemea kwa kukusanya mapato na kuwekeza, pia alibadili viwango vya kodi ili viendane na soko na hatimae lijiendeshe kwa faida,

Magufuli alianzisha mradi wa property development kwa kushirikiana na private partners, huku kwetu yapo majengo kama saif plaza na mipa plaza, na ndo hayo majengo Mchechu kila siku anafungua as if ni fedha za NHC kumbe ni wafanyabiashara wamejenga katika viwanja vya NHC.

Baada ya magufuli kuondoka ardhi alikuja prof.tiba alimkuta tayari alishaanza kuyumba lakini baadae alimsimamia na akaanza tena kuperform chini ya usimamizi wa prof, sasa prof kaondoka ni dhahiri ameanza kupwaya, naamini prof angekuwepo asingefanya huu uzururaji. Kimsingi hakuna mantiki ya yeye kuwa na msururu wa wabunge huku na huko sasa Lukuvi anafanyakazi gani? hao wabunge wakichachamaa bungeni hawatamhoji Mchechu watamhoji Lukuvi yale yale ya Nyalandu na Nundu pale uchukuzi.
 
Tafadhalini sana msiwaponde hao mnao waita vizee, wao walianzisha hilo shirika wakajenga nyumba kwa wananchi wa kawaida tena kwa mkopo wa shs 15400/- na mkopo ulikuwa unalipa shs 80/- kwa mwezi na hizo nyumba ndiyo mnazo ziona leo maeneo ya Ilala,Magomeni na Temeke angalia zilivyopangwa. Hawakupeleka kamati ya Bunge kwenda kuangalia miji inakuwa design vipi. Hoja hapa ni vipi wataalam wanawapeleka nje ya nchi wabunge kuona ujenzi wa satellite town katika ulimwengu wa leo?Mi naona mara elfu wangepeleka wanafunzi wa chuo cha ardhi
 
Back
Top Bottom