Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,929
- 40,599
Acha kukariri maisha, mi natumia mchele asilia toka Ifakara Morogoro ambao umelimwa bila hata kutumia mbolea, sasa hapo kuna kemikali gani?
Unaupika bila kuweka mafuta?
Acha kukariri maisha, mi natumia mchele asilia toka Ifakara Morogoro ambao umelimwa bila hata kutumia mbolea, sasa hapo kuna kemikali gani?
Wewe ndio umekataa kunielewaHujanielewa
Unaupika bila kuweka mafuta?
Acha upopoma wewe, unachokataa ni nini sasa nakati mi mwenyewe nimeyalima na nimeyala zaidi ya miaka 30 hadi nisijue kutofautisha lenye kemikali na lisilo na kemikali?Sidhani kama matikiti ya asili yapo kwa wingi hata yale ya kijani cheusi kuna ambayo ni ya kisasa
[emoji16][emoji16][emoji16]hayana manyoya
Natumia mafuta halisi yenyewe ya alizeti ambayo yaliyofuliwa moja kwa moja vijijini kabla hayajapitia viwandani.
Kama chakubangaNdiyomaana unakutana na vijana wadogo wadogo kirika lakini usoni ni Wazee sana sababu ya makemikali haya haya [emoji16]
Peleka mtaa wa jangwani kwasu kwasu ndiyo mlo wao
[emoji3]Kama chakubanga
Acha upopoma wewe, unachokataa ni nini sasa nakati mi mwenyewe nimeyalima na nimeyala zaidi ya miaka 30 hadi nisijue kutofautisha lenye kemikali na lisilo na kemikali?
Hongera. Ila mbona product ina umbo dogo sana. Njoo mwanza huku ujionee madude