mchawi ni nani?

mchawi ni nani?

Si lazima upae na ungo ili uwe mchawi. Dalili za uchawi: Chuki, majungu, wivu wa kijinga na umbea. Kama unazo hizo umeshafuzu kuwa mchawi.

Umegombana na manoah nini..!?? hizo ulizotaja ndo sifa zake...
 
Last edited by a moderator:
Umesema kweli my kaka/dada, uchawi si lazima kupaa na ungo usiku, hata unafiki na umbea ni uchawi.....(jiwe limerushwa gizani likikupata basi jua unahusika)
 
Naomba tu niulize, kwani Uchawi ni nini? maana hapa tumeng'amuliwa mchawi ni nani.
 
Mchawi ni mtu anayewanga....anatembea huku na huku akiwachafua watu na kuwapaka nuksi au kuwadhuru. Mtu anayetenda vitendo vyenye madhara kwa jamii ni mchawi pia.
 
Mmmh!! natamani niamini unielezacho ila nashindwa mpendwa...
 
Hahaha watu8 hutakaa uelewe kwa sasa, kwani hujapata macho ya roho ila siku ukifunuliwa utaweza kuona yaliyo katika ulimwengu wa roho. Ukiona mtu anafitinisha ndugu na ndugu au rafiki na rafiki basi hyo ni mchawi kwani anaichafua jamii.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha...eeenh umenipeleka mahali nilipokuwa nataka "Ulimwengu wa Roho", ila kabla hatujaenda huko labda ni-paste hapa definition ya Uchawi ni nini kama itavyosomeka;

Merriam-Webster online Dictionary:
witch·craft noun \ˈwich-ˌkraft\
Definition of WITCHCRAFT
a : the use of sorcery or magic
b : communication with the devil or with a familiar
c : an irresistible influence or fascination

Ni nini madhara ya vitendo hivi?
 
Ni nini madhara ya vitendo hivi?

Best...nijuavyo mimi uchawi au mchawi huangamiza ROHO ya mtu, na hayo mengine huangamiza MWILI.
Hivyo sitarajii madhara yakalingana, na hata kama yangelingana bado hatuwezi fananisha mambo yatendekayo kwa kutumia falsafa tofauti.
Mvua huwa yalowesha, na maji utayomwagiwa na mtu toka kikombeni pia yatakulowesha lakini the bottomline is mvua na maji kikombeni havilingani.
Uchawi is an art or practice, ila hayo mengine ni character.
 
Kwa mfano ulioutumia wa maji ni kweli mwisho wa siku mhusika atalowa......kulowa ni kulowa kuwe kwa mvuaa au kwa kumwagikiwa na ndoo yenye maji........Vinginevyo hata mtizamo wako ni mzuri sana bestito
 
Hahaha watu8 hutakaa uelewe kwa sasa, kwani hujapata macho ya roho ila siku ukifunuliwa utaweza kuona yaliyo katika ulimwengu wa roho. Ukiona mtu anafitinisha ndugu na ndugu au rafiki na rafiki basi hyo ni mchawi kwani anaichafua jamii.

Na wale wanosemaga "heri ya mchawi kuliko mfitina" wanamaanishaga nini dada?
 
kwa mtaji huo wachawi ni wengi humu.
Tuwakemee na tuwazomee wote.
 
Si lazima upae na ungo ili uwe mchawi. Dalili za uchawi: Chuki, majungu, wivu wa kijinga na umbea. Kama unazo hizo umeshafuzu kuwa mchawi.

hizi ni moja ya dalili za maendeleo, ukiwa nazo unaweza kuwa tajiri....
 
Umeuliza swali zuri sana dada yangu, hebu tusubiri majibu. Ila umepotea sana kulikoni?

Ngoja tusubiri mwanya waje watuambie...ndugu yangu weee mwisho wa mhula huu basi mijikazi kibaaao ukirudi chokest yani. Salama lakini...nataka kwenda ARUSHA mwisho wa mwezi naweza pata company yako?
 
Back
Top Bottom