mchawi ni nani?

mchawi ni nani?

Ngoja tusubiri mwanya waje watuambie...ndugu yangu weee mwisho wa mhula huu basi mijikazi kibaaao ukirudi chokest yani. Salama lakini...nataka kwenda ARUSHA mwisho wa mwezi naweza pata company yako?

usijali company umepata sema jingine best
 
Jee wanao tumia dini na kumwomba mungu wao amuangamize adui ni wachawi?

Jee dini zinazodai kuwa na uwezo wa kimaujiza sio uchawi?
 
Back
Top Bottom