Jana nilisikia kwamba kuna mchawi mmoja huko kasulu.,mkoan kigoma ya kuwa kuna mchawi mmoja alienda makabulin alipofika akafanya yake mara ghafla maiti ikamganda...,ebu mtujuze.!
Hebu peleka uzushi wako huko! heading na maelezo haviendani!Jana nilisikia kwamba kuna mchawi mmoja huko kasulu.,mkoan kigoma ya kuwa kuna mchawi mmoja alienda makabulin alipofika akafanya yake mara ghafla maiti ikamganda...,ebu mtujuze.!
Nani akujuze wakati wewe ndo unapaswa utujuze?
Cha umbeya mpe chai ya moto kwenye kikombe cha bati.......................!!!!!!!!!!!!!!!!!!
weka picha, vinginevyo ni uzushi mwingine
Jana nilisikia kwamba kuna mchawi mmoja huko kasulu.,mkoan kigoma ya kuwa kuna mchawi mmoja alienda makabulin alipofika akafanya yake mara ghafla maiti ikamganda...,ebu mtujuze.!
ni kweli mkuu , kuna mama mmoja alienda makaburini kufukua maiti iliyozikwa na alipofanikiwa kuitoa ilimganda haikuwezekana kuitua na mpaka watu wakamkuta eneo hilo , na ndipo walipochukua hatua ya kumpeleka polisi na alipofika polisi tu aliweza kuitua , nafikiri ni imani za kishirikina na waandishi wa habari watatoa si muda mrefu on paper especially NIPASHE mr. joctan anafuatilia