Mchawi aingia choo cha kike kwa Mlokole

Hako kachawi wakapige miti tu katatulia
 
Yaani mkuu acha tu,japokuwa kalikuwa kamejipaka dawa nyeusi hadi usoni ila bado kanaonekana karembo tu,halafu kana shepu nzuri kameumbika aisee,wamekachukua na kukapeleka kwenye ofisi ya mtendaji.

Halafu wakakafungia Ofisini au siyo???,halafu mtendaji peke yake ndo mwenye funguo,afadhari km mtendaji huyo ni Mwanamke lkn km ni Mwanamume Kachawi hako katakuwa kaliliwa tigo.
 
Haleluya, sifa na utukufu ni kwa bwana wetu yesu kristo aliye mwokozi na tumaini letu. Hakika kila amwaminiye yu na uzima wa milele. Tubu sasa na uokoke kutokana utumwani(kila mtenda dhambi ni mtumwa wa ibilisi)
 
Mwenzako nimeamini 100% wala sina haja na picha kwasababu najua nguvu ya damu ya Yesu ni kubwa kuliko nguvu za wacawi na vigagula.


Kudadeki Mkuu Ciprofloxacin Hadithi ya kutunga hii hatuwezi kuiaminimpaka upige pichatupate kuziona
 
Ha ha ha, story inasema mchawi ni under 25, Bujibuji akasema eti ni under 20. Hapo nilikuwa namkumbusha tu.

Ila mdau katunyima utam wa story kwa kutopiga picha


. 😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂 huyu buji mwenyewe hata sijui ni me ama ke
 
Last edited by a moderator:
Yaani mkuu acha tu,japokuwa kalikuwa kamejipaka dawa nyeusi hadi usoni ila bado kanaonekana karembo tu,halafu kana shepu nzuri kameumbika aisee,wamekachukua na kukapeleka kwenye ofisi ya mtendaji.

mkuu ungeomba ukakahoji pekeako nyuma ya boma upate japo silent kisi....nakapicha kaushahidi aisee
 

Uelewa wako ktk mambo ya kiroho na kazi za Yesu ni mdogo sana, damu ya Yesu si ktk kusafisha dhambi tu, bali ktk uponyaji na nguvu za kutoa mapepo na kuponya magonjwa ikiwa ni pamoja na kusafisha kila aina ya uovu.
Halafu utambue kuwa, Yesu hakuwahi kuwa mtume, mtume ni Mohammed S.A.W, Bible inamtaja Yesu kama mwana wa Mungu, sina haja ya kukutajia vifungu ktk Bible. katafute mwenyewe.
Unaweza kusema ',Wewe pepo nakuamuru kwa damu ya Yesu utoke, na pepo litatii amri na kutoka, lakini huwezi kulitoa pepo kwa damu ya Mohammed wala jina lake likaogopa, ni damu ya Yesu au jina lake tu kote duniani.
unavyokomaa eti ni story ya uongo wewe ulikuwepo? au nikiandika story nalipwa? jaribu kujitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…