Mchawi aingia choo cha kike kwa Mlokole


Mkuu hii habari hujalipia ili kuisoma, kwa hiyo si lazima ukaamini.
 
Yaani mkuu acha tu,japokuwa kalikuwa kamejipaka dawa nyeusi hadi usoni ila bado kanaonekana karembo tu,halafu kana shepu nzuri kameumbika aisee,wamekachukua na kukapeleka kwenye ofisi ya mtendaji.

....hako kaogesheni mkapige mtungo hadi jicho!
 
Fiksi hizi, mlokole nae amepikwa...
wala hujakosea Yesu alitupika pale msalabani alipotangaza imekwisha maana hata uhai wetu umefichwa mbali Kristo alipo. MPE Yesu maisha yako leo ili uwe miongoni mwao!!
 
Ni kweli haya mambo yapo! kuna mtu mmoja alikuwa mchawi akafanikiwa kuacha. Anasema mchawi akijaribu kupita karibu na kanisani, au panapofanywa maombi....Lazima akione cha mtemakuni! Au akienda kwenye makaburi, kaburi hilo liwe alizikwa padre, mchungaji au watu wenye haki mbele za Mungu, lazima ajitumbue jibu mwenyewe!
 
wala hujakosea Yesu alitupika pale msalabani alipotangaza imekwisha maana hata uhai wetu umefichwa mbali Kristo alipo. MPE Yesu maisha yako leo ili uwe miongoni mwao!!

Nilishampa, nimeona haina maana nimeyarudisha kwa mizimu yangu. Inatenda kuliko yeye... Na wewe rudi nyumbani, Mizimu ikuongoze!
 

Mkuu naanza kukutilia mashaka mkuu inaonekana unayajua sana hayo mambo??
(amani tuu)
 
Uongo kwenye tukio upo.peke yako tu lazma picha tungeziona kwenye mitandao
 
Pole sana ndugu yangu! Naona hujui nguvu na mamlaka ya jina la Yesu,hilo jina ni mziki mnene,mapepo,wachawi ukilitaja tu wanaungua vibaya,usiandikie mate na wino upo,hebu jaribu uje uone!

Amina kubwa ubarikiweeeeeeeeeee
 
Kachawi under 20 sipatii picha hizo Chuchu kudadadeki zake.

Wewe badala ya kutafakari nguvu iliyosababisha huyo mchawi kuishiwa nguvu na wewe utaipataje,
Unatafakari chuchu?

Inaonekana unamhitaji Yesu akubadilishe.
Hujachelewa anapatikana bure.
Ukimpata huyo wachawi hawakusumbui tena.
 

wasukuma kwa maimani ya ajabu ajabu na fiksi hamuwezekani
 
yaani wewe kijana sijui mvulana una visaaa:eek2:

Ha ha ha, story inasema mchawi ni under 25, Bujibuji akasema eti ni under 20. Hapo nilikuwa namkumbusha tu.

Ila mdau katunyima utam wa story kwa kutopiga picha
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…