Umeniamsha usingizini mkuu huyo mtu uliyemtaja mwanzo achaaaa usiguse hicho kitufe ni hatati yaani danger namaanisha. Huo usomaji wake wa taarifa ya habari na ile sauti havijawah kutokea kwenye sayari hii labda huko mars.
Hujamtaja Christine Chakunegela (usomaji wake taarifa ya habari saa nne usiku ilikuwa kama vile ni software, hakuna kigugumizi wala kurudiarudia maneno)
Hebu tujuze kila mmoja alipo sasa, maana hawa watangazaji walikuwa na kiswahili kilichotukuka kisicho na doa
Pascal Mayalla, alitokea RTD!
Ingependea awe anatumegea siri ya nini walikuwa wanafanya mpaka kuwa kivutio sana kwenye ubora wa lugha ya Kiswahili Pascal Mayalla
Juma Nkamia (rubbish)
Huyu ametukuka kwako mleta mada
Hv jina lake kwa usahh ni lipi haswa naona kila mtu anaandika kivyake humu. I mean spelling zake. Dah RTD acheni tuUmeniamsha usingizini mkuu huyo mtu uliyemtaja mwanzo achaaaa usiguse hicho kitufe ni hatati yaani danger namaanisha. Huo usomaji wake wa taarifa ya habari na ile sauti havijawah kutokea kwenye sayari hii labda huko mars.
Nyakati zinakimbia sana.
Umeniamsha usingizini mkuu huyo mtu uliyemtaja mwanzo achaaaa usiguse hicho kitufe ni hatati yaani danger namaanisha. Huo usomaji wake wa taarifa ya habari na ile sauti havijawah kutokea kwenye sayari hii labda huko mars.
Nyakati zinakimbia sana.
Samahani hivi ni Tido Muhando au ni Tido Mhando? Nitashukuru nikipewa ufafanuzi wa haya majina mawili tafadhali.
Wachafuzi wa lugha
Nampenda sana Bi Deborah Mwenda na hadithi zake za zimwi kila mwisho wa juma ktk kipindi cha watoto.
Nakumbuka 'chei chei shangazi ..'
Mungu amlaze mahala pema peponi. AmenNamkumbuka Halima Mchuka hapo kuwa ni mwanamke wa kwanza kutangaza mpira wa miguu.
Apumzike kwa amani. nakumbuka alifariki siku moja na mke wa Mzee Kawawa mama Sophia KawawaUtakuwa humtendei haki Dominick Chilambo wa RTD Mwanza na mmoja wa manguli wa kutangaza mpira kutokea uwanja wa CCM Kirumba..
Vinginevyo orodha imetimia.