Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
kwa sisi tulioko nje ndio kusema tunasoma tu hapa baada ya hicho kipindi sio??
Kila kheri, Mungu ujasiri useme kile kilicho moyoni mwako.
Hii ndio dunia ya ujasusi naamini tutafundishana mengi tupate kuwa na majasusi wengi zaidi nchini
ndo umerudi rasmi kuanza kampeni??
siyo mwanasiasa mimi...
siyo mwanasiasa mimi...
ahaa ina maana umesahau ktk thread ile uliposema unajiandaa kwenda kupambana ?
kupambana si sawa na kugombea..
Ndiyo nimemaliza nao sasa hivi...