Ukiona JK anaisifia sheria ile ujue imewekewa "vilainishi" vingi mno. Iwekeni na sheria yenyewe humu au imo?
Wengine tumekusikia mkuu lakini baada ya mahojiano nikatoka mkuu kuwahi kibaruani niliacha Hiza Tmbwe ana hojiwa!
Wakati mwingine uwe unatuambia/unatutangazia Kabla ya mazungumzo.Wengine tunahamu ya kusikiliza live na kukuona live.
Haidhuru. Muhimu ni kwamba wanautambua mchango wako kwa masuala ya kitaifa. Tuwekee ile audio ulioahidi.wakati mwingine napata mialiko hiyo late in the day..
siyo mwanasiasa mimi...
Haidhuru. Muhimu ni kwamba wanautambua mchango wako kwa masuala ya kitaifa. Tuwekee ile audio ulioahidi.
Nitawawekea sehemu ya audio ya mahojiano kutoka upande wangu, within the next 45 minutes
Ntapenda kusikia vipengele ambavyo Mwanakijiji anavipinga, binafsi kwa jinsi nlivyomsikiliza Rais siku aliyokuwa anatoa hotuba kupitia TV (28th Feb 2010), sikuona mapungufu katika ile sheria. Nimejaribu kuangalia mapungufu ya ile sheria, bado naona mazuri ni mengi sana, coz ile sheria ndio msingi wa Utawala Bora kama itasimamiwa inavyotakiwa!
Mpaka hapa tulipo bado naisupport hiyo sheria kama ilivyo, unless I hear the worst side of that Act!
Kwa hili bado nipo upande wa JK!